Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Matajiri ndio huwa wanamwaga vocha humuπππ hatuchelewi kuletewa picha za gugo watu wanadeposit ila mikono hainekani na nyumba za michongo halafu kapiga fence tu, em awe anatuonyesha na ndani.!!
Kuna id zingine mpya sijawahi hata kuziona aiseee.!! π€£π€£π€£Jamanii,jamaniii my wiii nicheke kwanza ule uzi watu mpaka wanakuja na Id mpya ili wagombee vizuri Vocha za bure niliwapa ukweliπππ
π€£π€£π€£ yani wanachekesha mi nikiona mtu kaniita nikienda kumjibu nakuta comments zinapandana za watu wanalilia vochaNchi ngumu hii
Matajiri wanajua uzi wa kugombania vocha za bure
Mie maskini sina habari
Hivi uzi wa vocha upo wapi?Jamanii,jamaniii my wiii nicheke kwanza ule uzi watu mpaka wanakuja na Id mpya ili wagombee vizuri Vocha za bure niliwapa ukweliπππ
Mimi niliandika kule ukweli waache pigo hizo kutwa kuwasema watu na majigambo humu ππKuna id zingine mpya sijawahi hata kuziona aiseee.!! π€£π€£π€£
Hehehehe ndio forester...nyeupeeπππ..we huogopiii ππNakojoaaaaa πππ
Subaru ipi? Forester?
Em atulize atauponza bure
Aisee njaa mbaya inakudhalilisha kweupe πππMatajiri ndio huwa wanamwaga vocha humu
Wote ambao tunagombania bado kuingiza vocha za bure aisee
Ndio poorest pipo for the poor by the poor
Mm nilivoongea ukweli nikaripotiwa nkachomewa ka nyumba kanguπππMimi niliandika kule ukweli waache pigo hizo kutwa kuwasema watu na majigambo humu ππ
πππ tatizo njaa inawasahulisha Bantu lady kajua kutuumbulia watuMimi niliandika kule ukweli waache pigo hizo kutwa kuwasema watu na majigambo humu ππ
Uzi toka asubuhi uko kwenye chat juu huko ukiingia ndani watu wana uwana huko πππHivi uzi wa vocha upo wapi?
Hii jf ya sikuhizi inanivuruga nashindwa kusoma nyuzi
Acha nikapambanie kombe na matajiri uchwara
π€£π€£π€£ ehhhHehehehe ndio forest..nyeupeeπππ..we huogopiii ππ
Niliona siku ile walikukalia kooni na kipipa πππMm nilivoongea ukweli nikaripotiwa nkachomewa ka nyumba kanguπππ
Nilishtukia π₯π₯ππNiliona siku ile walikukalia kooni na kipipa πππ
Halafu kipipa si alikuwa shosti yako? π€£π€£π€£Nilishtukia π₯π₯ππ
Hii app mpya mnatumiaje wenzanguUzi toka asubuhi uko kwenye chat juu huko ukiingia ndani watu wana uwana huko πππ
Yanga bingwa Nkamu πππNyie π π π π
Yanga mbele daima
Halafu kipipa si alikuwa shosti yako? π€£π€£π€£
Nilikuwa namuona ulipo yupo kujifanya anakujua sana.!!
Nikasema hapa kuna unafkilazition unaendelea π€£π€£
Hii yanga ni man city tupuπ₯π₯π₯Yanga bingwa Nkamu πππ
Ngoja nikutumie link ya zamani unakosa uhondo πππHii app mpya mnatumiaje wenzangu
Mimi nashindwa kuona nyuzi kabisa
Yaani ni mateso.
Aisee
Kivumbi na jasho
Matajiri watoana roho kwa kugombania vochaπππππππ
Kumbe hadi matajiri Wana hizi tabia za kuvamia vocha