Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Jf imetuletea watu version ya vipipa toka lini ππππHalafu kipipa si alikuwa shosti yako? π€£π€£π€£
Nilikuwa namuona ulipo yupo kujifanya anakujua sana.!!
Nikasema hapa kuna unafkilazition unaendelea π€£π€£
πππ tulikuwa tunawazoom wakongweNilijua ana akili kumbe ni poor brain...ππ
Nishampa.yake...sitaki shobo na malaya mmπππ
Ngoja nikutumie link ya zamani unakosa uhondo πππ
Ya moto sanaNyuma mwiko
Hii yanga ni man city tupuπ₯π₯π₯
Huko ndio utajua umuhimu wa fake IDHii app mpya mnatumiaje wenzangu
Mimi nashindwa kuona nyuzi kabisa
Yaani ni mateso.
Aisee
Kivumbi na jasho
Matajiri watoana roho kwa kugombania vochaπππππππ
Kumbe hadi matajiri Wana hizi tabia za kuvamia vocha
Takatakaππππππ tulikuwa tunawazoom wakongwe
π€£π€£π€£ haujuiiii??Hee
Jf imetuletea watu version ya vipipa toka lini ππππ
Akiyanani
Yanga bingwaπππ₯π₯
πππ huoni uzi umepoa matajiri wapo huko macho kodo vocha zisiwapiteNingekuwa nishadaka vocha nyingi sana maana nimebobea kwenye sekta hiyo ya kuwahi
Ngoja nikawapore matajiri vocha
Wasije kujinyonga bure
Kwanza inatakiwa uwongozi wa Jf ipige marufuku kugawa vocha watu wanashindwa hata kuchangia nyuzi nyingine πππππ huoni uzi umepoa matajiri wapi huko macho kodo vocha zisiwapite
πππ achana naoTakatakaπππ
πππ huoni uzi umepoa matajiri wapi huko macho kodo vocha zisiwapite
π€£π€£π€£π€£ uzi uliunganishwa nasikia walipiga kelele utenganishwe ili wazione vochaKwanza inatakiwa uwongozi wa Jf ipige marufuku kugawa vocha watu wanashindwa hata kuchangia nyuzi nyingine ππ
Yesu wanguπ€£π€£π€£ haujuiiii??
Mtafute coca akupashe kuna kontena jipya la vipipa
Sema kweli mimi nasemaga kila siku humu wengi wanakufa na stress za Maishaππππ€£π€£π€£π€£ uzi uliunganishwa nasikia walipiga kelele utenganishwe ili wazione vocha
Nuzu kasema mods wapiga marufuku eti nyuzi zinakosa wachangiaji watu wako busy na vocha π€£π€£π€£π€£Kumbe ndio maanaπππππππ
Chaaa
Jamani
Kuliko vocha za sandakalawe
Heri kuzingusha ndizi aiseee
Tajiri wanasubiri kupambania kombe la vocha
No wonder wanauliza keki za elfu7
Labda bumunda.
Ni huzuni.
Mimi uzuri naenda nayo hii hiiHuko ndio utajua umuhimu wa fake ID
π€£π€£π€£ sasa tumefikiwa hivyoYesu wangu
Mmenikumbusha kipipa yule kimbo kwenye saluni ya mama kimbo
Unabishana na mtu kumbe hajala stress zote anakumalizia wewe π€£π€£π€£Sema kweli mimi nasemaga kila siku humu wengi wanakufa na stress za Maishaπππ
Mnataka matajiri wakose bando washindwe kuingiaNuzu kasema mods wapiga marufuku eti nyuzi zinakosa wachangiaji watu wako busy na vocha π€£π€£π€£π€£
Wapate bando la kuja kututukana maskini π€£π€£π€£Mnataka matajiri wakose bando washindwe kuingia
Watatutambiaje sasa
Acha wapate pate vocha
Hali ni ngumu sana