Selfika na JF: Snap it. Show it

unataka akose demu
Kwani wanatupia pic wapate mademu?? 🀣🀣

Kuna mmoja alikuwa anatupia pics yuko maandishi matatu, (USA) siku ya siku nimemuona kwenye uzi mmoja analalamika mbegu alizopanda shambani kwake mkoani huko hajizastawi 🀣🀣🀣

Anaomba ushauri kwa mabwana kilimo wamsaidie 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…