Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
ahah ndio maisha yetu ya jfKwani wanatupia pic wapate mademu?? 🤣🤣
Kuna mmoja alikuwa anatupia pics yuko maandishi matatu, (USA) siku ya siku nimemuona kwenye uzi mmoja analalamika mbegu alizopanda shambani kwake mkoa il huko hajizastawi 🤣🤣🤣
Anaomba ushauri kwa mabwana kilimo wamsaidie 🤣🤣
Kama mimi mkinikuta na box langu la maepo mjifanye mnanijua nawakataaahah ndio maisha yetu ya jf
Face kwa mimi😂😂😂 dah.!
Yote mnichokonoe ni panic nitume!! Naijua hiyo.!!
Haya unataka nitupie part ipi? Face or ngongingo??
ahahhah au tukikukuta unachoma chapati pale mwengeKama mimi mkinikuta na box langu la maepo mjifanye mnanijua nawakataa
Sio ww bana, huyo mwingine alikuwa kitambo sana 😂😂No natupia kwa marafiki zangu tu just upendo tu
Uanze kusema mbona kama nmewah kukuonaahahhah au tukikukuta unachoma chapati pale mwenge
Pitaa basii nijue nikipita ID yako niweke mikono mfukon au napita kama naendaWacha weeh 😂😂😂
ahajahah unamjibu tu twajibiiiiiUanze kusema mbona kama nmewah kukuona
Mzee hapa nasikia vilio vya fisi kama wote! Sema si unajua sie wanaume wa mkoaniHapana unatuangusha wanaume wa JF...ngoja nikuunge kwa wifi hapo chap tu 🤣🤣(joking)
Haujaelewa mkuu nmemwambia Lamomy atume self ya face niioneNipo simple tu mkuu ,japo wewe ni chawa wa mama usiwaze 😆
Full throttlemimi silica sura ili mnikalili vzr tukikutana mtaani tusiitane bhna
Sawasawa kabisa..Aaaah jirani unakwama sasa😊!
Naona umedinda kunibless ausio
Fureshi basi Siku kasimu kakipona utatubles jirani
SamalekoWewe wa face mzigo huo hapo niko naked