Selfika na JF: Snap it. Show it

Sabaha anaimba yule mama, ikipigwa Debe tupuu navurugwaa. Lol

Sabaha anaimba bhana Yani Hana makeke sauti imetulia anazeeka na sautiyake nzuri
Sabaha ana consistency kwenye sauti yake
Yaani mwanzo mwisho haigomi njiani.

Kopa round ya pili tu chalii
Sauti inapotea
Anabaki kuzunguka chini ya jukwaa kukusanya hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…