Selfika na JF: Snap it. Show it

Sabaha ana consistency kwenye sauti yake
Yaani mwanzo mwisho haigomi njiani.

Kopa round ya pili tu chalii
Sauti inapotea
Anabaki kuzunguka chini ya jukwaa kukusanya hela.
Jaman mama zuchuu simpendiii, na ile misifaaa yakee, aaaah wee.
Sabaha kabarikiwa yule mamaa, "Debe tupu" na "Niacheni Nijivune"

Huwa navurugwa hatariiiii. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Yaani imagine

Matahira wanawekwa kundi moja na akina mshana wenye heshima zao
Wote Wana bluetick.
Hizi bluetick kuna namna za hawa matahira wa sasa zitofautishwe kidogo na wenye utimamu.
Dada Anne umechachukaa vibayaa siku hiziii, wallah
Sijakuzoea hivi ujue, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…