Selfika na JF: Snap it. Show it

Wako nishamchukua
Kwako harudi tena
Katamka wasiwasi

Nampikia maandazi na Chai ya tangawizi
Kisa nnatoa doziπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Jibebe na jeuri zako
Ooh utalia
Jiji utalijua

Wimbo wa michepukoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Koma kunifatilia
Nina bwana wangu ndani
Nadhani unamjua
Handsome boy mjini
Wengi wamgombania
Amewapiga na chini πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Saint Anne
HatariπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dada amepanga maneno yakapangikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila mishangazi ya Dodoma mibahili
Sijui ndio haina hela

Dah
Wanatoa bukubuku,nazo Kwa mbindeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hii raha za pwani ipelekwe Tanga..
Kopa leo kukusanya hela chache ukilonganisha na raha za pwani ya Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…