Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wako nishamchukua
Kwako harudi tena
Katamka wasiwasi

Nampikia maandazi na Chai ya tangawizi
Kisa nnatoa dozi๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Jibebe na jeuri zako
Ooh utalia
Jiji utalijua

Wimbo wa michepuko๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mtaani kwa kina Poor Brain
IMG_20230623_192110_6.jpg
 
Koma kunifatilia
Nina bwana wangu ndani
Nadhani unamjua
Handsome boy mjini
Wengi wamgombania
Amewapiga na chini ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Saint Anne
Hatari๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Dada amepanga maneno yakapangika๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ila mishangazi ya Dodoma mibahili
Sijui ndio haina hela

Dah
Wanatoa bukubuku,nazo Kwa mbinde๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hii raha za pwani ipelekwe Tanga..
Kopa leo kukusanya hela chache ukilonganisha na raha za pwani ya Dar.
 
Back
Top Bottom