Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Andazi wanywea togwaa๐๐๐๐๐๐ฟ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐HatariWako nishamchukua
Kwako harudi tena
Katamka wasiwasi
Nampikia maandazi na Chai ya tangawizi
Kisa nnatoa dozi๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Jibebe na jeuri zako
Ooh utalia
Jiji utalijua
Wimbo wa michepuko๐๐๐
Haforce sautiLongolongo za waswazi
Hazinipi mtihani
Hazininyimi usingizi
Wa kulala na mwandani
Nimerudi Kwa mpenz
Sasa maneno ya nini
Saint Anne ameingia kiboko yangu
Yaani noma sana ๐Haforce sauti
Sauti ipo imenyooka
Katibu napoteza muda wa kuwapa mbu chakulaMhh mbona naona makombora tu, Kuna Nini muhasibu ?
Azam ni wapuuziKoma kunifatilia
Nina bwana wangu ndani
Nadhani unamjua
Handsome boy mjini
Wengi wamgombania
Amewapiga na chini ๐๐๐
Saint Anne
Hatari๐๐๐๐๐๐Koma kunifatilia
Nina bwana wangu ndani
Nadhani unamjua
Handsome boy mjini
Wengi wamgombania
Amewapiga na chini ๐๐๐
Saint Anne
Sana kiukweli wanajua kuimba sana na maneno yamepangika haswaHatari๐๐๐๐๐๐
Dada amepanga maneno yakapangika๐๐๐๐