Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Nyie danganyaneni tu, wewe unatakiwa upigwe ndoige na sugunyoβΉοΈπ€πβNgumi za nini?π wakati mrembo mwenyewe kasha ni approve?
Auntie mshunu huyu ka-cute ππ
Watu wazima tuliokomaa na stress tunasikia maumivu tukisukwa itakuwa mtoto ngozi ya kichwa laini ππNdiyo. Ila mbishi huyo π.
Nahisi kichwa huwa kinamuuma.
Baba mtu ana ndevu km Ossama ππSasa mtoto mwenyewe si unaona unywele umegraduate? Hautakiwi kuupaka chochote ili hata kama anazibana ziendelee kuwa laini ?
Najua Nyani Ngabu yeye mtaalamu wa kufunga udevu, ameuwekea bajet matata, ukimpa mwongozo wa mafuta au chochote kinachohusu matunzo ya nywele za binti, itafaa pia
Shukrani Kwa maelezo mazuri ya awali. Siku njema.
Huyo tunajuana miaka. Wewe umemjua sijui juzi. Utulie kama unanyolewa zivu sawa. Halafu acha kumsumbua babe wangu, ana mambo mengi ya kufanya na kunipenda. Acha kumvuruga muoneKoma kumsema sifa mbaya babe wangu Madame B
Hameni nchi πkama muda hauruhusu?
Huyo G naye kingβangβa haelewi km umewahiwa ππHuyo tunajuana miaka. Wewe umemjua sijui juzi. Utulie kama unanyolewa zivu sawa. Halafu acha kumsumbua babe wangu, ana mambo mengi ya kufanya na kunipenda. Acha kumvuruga muone
Eeeh isijekuwa waebrania tumepangwa safari ya kuelekea KananiπHuyo hapana alisema tu ananipenda. Basi kaunganisha tela. Nina babe mmoja tu. Anajijua Odo, nimecheka hapo kwa Waebrania una maneno Odo π€£π€£π€£π€£π€£
Uzi wa minyimbo upo acheni kutujazia seva kwenye uzi wetu ππ
Odo hapo nimefika, hutosikia mwingine. Nampenda mpaka nampenda tena. Hivi unaanzaje kuacha kumpenda, mkaka wa hivi? Waebrania wabishi vibaya mno. Sina mbavu πππππππHapo sawa odo mpende kikiboxer wako mwayego.!
Waebrania wabishi sana!! πππ
Mkuu tatizo sio mimi tatizo ni Bantu Lady ndiyo amekataa.Nyie danganyaneni tu, wewe unatakiwa upigwe ndoige na sugunyoβΉοΈπ€πβ
Treeeenaaah odo kapenda had kapenda tena.!Odo hapo nimefika, hutosikia mwingine. Nampenda mpaka nampenda tena. Hivi unaanzaje kuacha kumpenda, mkaka wa hivi? Waebrania wabishi vibaya mno. Sina mbavu πππππππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Babeeee No siwezi kukupanga kamwe. Huyo G sijui tumkwepeje. Utasema natembea na figo zake π π π π πEeeh isijekuwa waebrania tumepangwa safari ya kuelekea Kananiπ
kalitoa wapi sijui hili neno? Lamomy utatuvunja mbavu.Odo hapo nimefika, hutosikia mwingine. Nampenda mpaka nampenda tena. Hivi unaanzaje kuacha kumpenda, mkaka wa hivi? Waebrania wabishi vibaya mno. Sina mbavu πππππππ
I know Babe.Hataki ku move on?kweli huyu muebrania hahaaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ Babeeee No siwezi kukupanga kamwe. Huyo G sijui tumkwepeje. Utasema natembea na figo zake π π π π π
Haya basi bingwa umeshindaMkuu tatizo sio mimi tatizo ni Bantu Lady ndiyo amekataa.