Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa mtoto mwenyewe si unaona unywele umegraduate? Hautakiwi kuupaka chochote ili hata kama anazibana ziendelee kuwa laini ?

Najua Nyani Ngabu yeye mtaalamu wa kufunga udevu, ameuwekea bajet matata, ukimpa mwongozo wa mafuta au chochote kinachohusu matunzo ya nywele za binti, itafaa pia

Shukrani Kwa maelezo mazuri ya awali. Siku njema.
Baba mtu ana ndevu km Ossama 😂😂
 
Odo hapo nimefika, hutosikia mwingine. Nampenda mpaka nampenda tena. Hivi unaanzaje kuacha kumpenda, mkaka wa hivi? Waebrania wabishi vibaya mno. Sina mbavu 😂😂😂😂😂😂😂
Treeeenaaah odo kapenda had kapenda tena.!
Hii kapo yenu ya pili kuipenda humu, nikitoa kapo yangu pendwa ya Carleen na baba mtumishi wake.! 😍😍
 
Back
Top Bottom