Selfika na JF: Snap it. Show it

Yule wa ndinga umempotezea? Unanilanguza km mitumba ya manzese
Weeh!! Wa ndinga naanzaje kumpotezea?? πŸ˜‚πŸ˜‚
Tena umenikumbusha nikamuulize kafikia wapi shem na ndinga zetu.!!
Mie tena ninavyopenda ndinga awwwhh Monk apumzike tutamrudia akipata kiinua mgongo chake kwanza 🀣🀣🀣
 
HHahaha we mbaya huna huruma kabisa
 
Unafikiri bado Kuna u hb umesalia? Usiome uzee ukufike.

Ila mapigo ya moyo yameenda mbio sana. Lamomy ana utovu wa ubinadamu.

Ila acha nijikakamue nitafute ndinga dharau zipungue. Niimalizie uzee Kwa heshima

View attachment 3104583
Handsome wa nguvu kabisa, usijikatae una tabasamu zuri kinoma

Lamomy mpambe nuksi huyo usimzingatie sana
 
Sis hilo Gauni ni zuriii,
[emoji1665][emoji833].
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Bantu Lady

Nimepitwaa na pichaa yako, puliiz fanyaa jamboo nisafishee machoo.

Unakubalii vipii, nipitweeeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…