Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yule wa ndinga umempotezea? Unanilanguza km mitumba ya manzese
Weeh!! Wa ndinga naanzaje kumpotezea?? 😂😂
Tena umenikumbusha nikamuulize kafikia wapi shem na ndinga zetu.!!
Mie tena ninavyopenda ndinga awwwhh Monk apumzike tutamrudia akipata kiinua mgongo chake kwanza 🤣🤣🤣
 
HHahaha we mbaya huna huruma kabisa
 
Tatizo uhb mi napenda sura ng'ong'o🙊
Unafikiri bado Kuna u hb umesalia? Usiome uzee ukufike.

Ila mapigo ya moyo yameenda mbio sana. Lamomy ana utovu wa ubinadamu.

Ila acha nijikakamue nitafute ndinga dharau zipungue. Niimalizie uzee Kwa heshima

Screenshot_2024-09-23-20-06-19-31_99c04817c0de5652397fc8b56c3b3817.jpg
 
Unafikiri bado Kuna u hb umesalia? Usiome uzee ukufike.

Ila mapigo ya moyo yameenda mbio sana. Lamomy ana utovu wa ubinadamu.

Ila acha nijikakamue nitafute ndinga dharau zipungue. Niimalizie uzee Kwa heshima

View attachment 3104583
Handsome wa nguvu kabisa, usijikatae una tabasamu zuri kinoma

Lamomy mpambe nuksi huyo usimzingatie sana
 
Church lady[emoji3589]
Tumeiombea nchi yetu Tanzania
Bwana na atoe majibu ya damu zilizomwagika
Bwana aachilie amani

Bwana aachilie majeshi yake ya ulinzi ambayo ni imara kuliko majeshi yote hapa Duniani.

Bwana aachilie roho ya hekima kwa viongozi na awaondolee ubabe

Shallom Tanzania
Sis hilo Gauni ni zuriii,
[emoji1665][emoji833].
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Bantu Lady

Nimepitwaa na pichaa yako, puliiz fanyaa jamboo nisafishee machoo.

Unakubalii vipii, nipitweeeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom