Selfika na JF: Snap it. Show it

Make up ukimkuta mpakaji kavurugwa, unatoka km tumbili mjane πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna siku nililazimishwa kupaka ilikuwa naenda shughuli flani
Wakasema huchelewi bna fasta

Mungu wangu kuangalia kwenye kioo
Naona picha kama la nsyuka part 3
Wamepaka makeup za watu weupe grade 1
Wakati mi mweusi grade1

Kama naenda cheza nsyuka part4 hiviπŸ˜‚
Kataka nijikimbie
 
Hivi Aaliyyah hupati tags? Maana nimekutag leo na hauzijibu sasa hapo kwenye picha sitaki kuquote ili picha isije kubaki humu,

Tabasamu kwenye picha ni muhimu linaongeza urembo, na kuficha utu uzima inafanya sura iwe ya kitoto sana, ni mwendo wa kusmile tu
 
MashAlllah...
Skin tone, smile, lips πŸ”₯πŸ”₯

Ngoja tubaki kusifu na kula kwa macho...
 
Nina kapicha kake aisee siifutag Ile kumbukumbu πŸ˜€
Ni mzuri Sana Kuna dadazetu hapa ni noma na nusu alaf hawaring Akina sie twajibii Sasa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ngoja aje atubless tena
Yaani wazuri hawanaga muda wa kuringa kabisa
 
Tatizo stori za Coca zinahitaji kiwango cha juu sana Cha umbea na kuelewa
Mi natokaga holaa
Kakoka bhana kambea ka kimataifa

Kweli umbra kipaji
Hiyo siku ilikuwa wanamwaga ubuyu kuna uzi mmoja hivi, coca akatumiwa risiti akapost na mie tena nikadandia treni kwa mbele acha nichambe nikala ban coca anakuja kunipa pole pm naye akala ban tukabaki tunachekaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tukarudi tena kivingine tukapeana signal ndio nikaanza kumuuliza kwani ini ni nani?? Naye anaongea kwa uoga, nikazama chimbo nikaishtukia id moja hivi nikaifatilia ikanipa full story yy ndiye ini og dah.!! Nilichoka 😹😹😹

Ila story yake inachekesha sana.. JF kuna viumbe wa hatari sana humu.!!
Itoshe kusema JF ni kichaka chenye wanyama wakali nkamu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sijaziona ila nipo hapa weka nitaona usiniqoute isije kubali
 
Imenikuta last week nilikuwa km kizuka awee sitaki Tena🀣🀣🀣
 
Imenikuta last week nilikuwa km kizuka awee sitaki Tena🀣🀣🀣
Yaani huko usoni vumbi siyo vumbi
Nikijiangalia shingo sasa na uso
Wapuuzi wale waliniambia nisinzie ili wanitishe na kinyago changu mwenyewe
Msikutaka mjadala nikaenda kunawa

Oh subiri tumalizie utaona
We hujui tu
Nikawaambia acheni ujinga
Ni kweli sijui mambo ya urembo ila hamuwez nigeuza msukule nawaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…