Selfika na JF: Snap it. Show it

Mi nilijikataa ni unakuwa zombi zombi ila wengine mbona wanapendeza hebu mama ushungi aaliyah atoe darasa jamani
 
Mimi nilipakwa wanja km naenda kusasambua 🤣🤣🤣
 
Chaa
Nkamu unaniachaje kwenye mataa stori inanipita
Wee utanihadithia
 
😂😂😂😂 nouma sana.!!
Mi makeup naiogopa nimenunua ila naishia kuitazama, kope nilikuwa mpenzi ila ss hivi sitaki hata kuziona… sijui nimeanza kukua?!!

Siku hizi had vitenge najifunga eti km mama kitulano 😹😹😹
 
Mi nilijikataa ni unakuwa zombi zombi ila wengine mbona wanapendeza hebu mama ushungi aaliyah atoe darasa jamani
Mm makeup naweza ila Kwa usowangu sio mpakaji labda simple wanja ndo siwez kabisa lipstick ndo mambo yangu Yani hata lipgloss naweza zichanganya na wanja zikatulia
 
Imenikuta last week nilikuwa km kizuka awee sitaki Tena🤣🤣🤣
Kuna birthday moja nilialikwa, birthday girl aliposimama, rafiki yangu akanambia mbona birthday girl kafanana na Michael Jackson?😂

Aisee kumtizama kwa makini nilicheka sana, amefanana na yule MJ kwenye Thriller...

Make up hizo, ukiwa mzuri mbona huwa sioni haja ya make up?
Au ni kukariri?

Huwa naona kazi ya make up ni kutoa tu zile black dots, makovu au chunusi sehemu baadhi ya uso kwa ajili ya photoshoot...

Na hapo mpakaji make up awe hodari kuchanganya hizo make up ziendane na skin tone yako... Mtu mweusi unapakwa make up ya brown😂
 
😁🤣😁Alikuwa kafanana na mkali wa pop
 
Mimi nilivo na aibu kilamtu naemjua namwambia niangalie usoni naonekanage bas hawana mbavu sherehe had inaishia nimejinamia tu
 
Chaa
Nkamu unaniachaje kwenye mataa stori inanipita
Wee utanihadithia
Hilo dude la moto sana nilipewa na ini mwenyewe 😂😂😂

Ila mie isingekuwa kuuza vijora ningefungua app yangu ya umbea mana nikikamia jambo mpk nilijue 🤣🤣🤣

JF wangekuwa wanaruhusu kuleta umbea wa members ningewapa burudani humu kuna burudani nyingi sanah.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…