Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyo member jeuri eti anawapa na mbinu za kumuadabisha mtuhumiwa wakati ni yy mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜Ή

JF watu wamepinda sana.!!
Kuna id ina act humble halafu kwenye nyingine ni fagia fagia hutoamini πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣Walivogundua hawakulia
Hivi huko pm Kuna magroup kabisa ya kusemana mie mbona napwita 🀣🀣
 
Humu tusipoangalia tutakesha Kama popo
Tutaponzeka wa kuamka kesho mapema

Usingizi umenibana
Navua samaki kama ndoano babeki

Bwana na awatunze wote.
 
Mimi nalala, nimecheka sana leo. Nyie watu mnachekesha nashangaa ugomvi humu unatokeaje na tunacheka hivi.
Kesho panapo uzima, mimi na Kapeace mtupe somo la picha, tufanyaje ili hata mkiquote zifutike.
Mlale unono nawapenda sana 😘
Usiku mwema tajiri huna baya ulale unono inshallah nakuombea upate baraka za kutosha pokea salamu kutoka kigambonino 😎
 
Mpaka leo hawajui na hilo group nkamu alikuwepo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Em nikalale nisije kusutwa miyeee
🀣🀣🀣Hausutwi my Wii
Hiyo inaitwa mbwa kala mbwa 🀣 🀣
Mm nilivo ningecheka had wangenileftisha wenyew 🀣🀣
 
Umeonaee wanawake tuna mengi jamani mara ngozi mara nywele mara msuko mara makeup nayo idunde uwe kituko, mara pozi bado mpiga picha asiwe na tekno wereva na ajue kuwa mpiga picha bado uwe mcute, kuwa mrembo ni shughuli tunapitia mengi na magumu
Kucha, mazoezi ya kutengeneza shape, wengine kubandika nyusi n.k

Kuna wanawake wameamua kunyoa nywele akiamka asubuhi anachana tu nywele...

Kumbe complications kibao.. poleni sana...
 
Inaonekana shule nzima ulikuwa unawatikisa kweli kweli.

Ex boyfriend sijui alikua anajikuta nani
 
Mimi nalala, nimecheka sana leo. Nyie watu mnachekesha nashangaa ugomvi humu unatokeaje na tunacheka hivi.
Kesho panapo uzima, mimi na Kapeace mtupe somo la picha, tufanyaje ili hata mkiquote zifutike.
Mlale unono nawapenda sana 😘
Mtu aki quote picha kama ulifuta Fanya hivi ripoti au mfate mod pm ataifuta au kama unatumia Tapatalk unafuta mazima ni rahisi sana
 
🀣🀣🀣Hausutwi my Wii
Hiyo inaitwa mbwa kala mbwa 🀣 🀣
Mm nilivo ningecheka had wangenileftisha wenyew 🀣🀣
Hiyo inachekesha ingekuwa mi wangenitoa chap ningeshindwa kuvumilia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Lakini yeye na ushauri anatoa, anakwambia kwenye hiyo id walimuadd km kaka mkubwa mwenye busara zake kumbe ndiye aliyewachefua 😹😹😹😹

Wii kidali poh kalale nacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…