Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
🤣🤣Walivogundua hawakuliaHuyo member jeuri eti anawapa na mbinu za kumuadabisha mtuhumiwa wakati ni yy mwenyewe 😂😂😹
JF watu wamepinda sana.!!
Kuna id ina act humble halafu kwenye nyingine ni fagia fagia hutoamini 😂😂
Hivi huko pm Kuna magroup kabisa ya kusemana mie mbona napwita 🤣🤣