Selfika na JF: Snap it. Show it

Ahsante kipenzi mwenye hips zake Saint Anne Sasa mimi shape yako, naitamani nipungue nifike vile. Ningetupia kila muda πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mungu akipenda kesho nitatupia. Usiku mwema wote, 😍😍😍😍😍
Unataka kuwa kimbaombao kama fimbo?
Njoo nikupe tips za kukondaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ishiwa hela
Fanya kazi kwa muhindi
Zunguka barabarani machinga mimi
Kazi yangu ya kusafiri hadi nakonda njiaani.
Stress za wateja wa keki.

Fasting
Kula portion ndogo sana
Team Dr Lizzy
 
Ahsantee, nitazifata. But kwenye kuishiwa hela nitakuwa kichaa, napenda hela uwiii. Nitaishi kwa shida sana. My Mom aliniambia, ningekuwa mwanaume ningekuwa jambazi, kwa kupenda hela 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Yani ututengenezee mbantu awe na mwonekano wa wasepenga
 
Ahsantee, nitazifata. But kwenye kuishiwa hela nitakuwa kichaa, napenda hela uwiii. Nitaishi kwa shida sana. My Mom aliniambia, ningekuwa mwanaume ningekuwa jambazi, kwa kupenda hela 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Hiyo ndiyo tip muhimu sana kuliko zote
Ukikosa tu hela unakonda bila kutumia nguvu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...
Natania..
Hapo mchawi ni wingi wa chakula..
Jizoeze kula kidogo sana..mimi mvivu kula.

Yaani hapa najisikia uvivu nataka nilale hivihivi.
 
Nanimeona umepungua
Aisee unatutaka nini kina chino
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Jeans imebana sana, Chino, kila kitu kikabanwa. Ila natamani kupungua. Kuna vipipi unaendesha ukivinywa vya Canada. Ila uwe karibu na Toi... nilivivywa mara 3 tu. Yaani uache kazi, uanze kushinda Toi nikaacha.πŸ₯²
 
Tajiri karibu home Kuna gym yangu hapa utapungua inshallah
 
Nguvu zote zilikuisha.

Dozi ilikuwa ya mda gani.

Fanya mazoezi vizuri Kila kitu kitakaa sawa tu.
 
Tajiri karibu home Kuna gym yangu hapa utapungua inshallah View attachment 3105800
Ahsante huwezi amini home kuna gym na vifaa vyote. Nikifanya nikisema nipumzike tu. Ndiyo nafutuka mara mbili yake. Ila nitaanza soon ni ubusy tu nikiamka late, nikirudi jioni hoi. Nitakaribia na huko, kubadilishana ujuzi ☺️☺️☺️☺️
 
Nilikuaga nainywa nikaacha. Nilikosa Windhoek nikaagiza hiyo ila sikuipenda nikainywa Basi tu pesa yangu isiende bure πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nawe mdau wa safari? πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna siku nilikunywa safari watu walinishangaa sana.!!
Mi ndio kwanza sina habari nafungua kwa meno 🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΏ
Ile ndio nzuri sasa
Karudi kuwa mtoto
Hata nyama za kuzugia hakuna
Aliye muingiza king yule sista sijui nani.

Kina mobotto mbona we mbamba na Kila kitu kimakaa mahala pake just like you.

Unapita eneo watu hata hatushtuki
 
Anza na mazoezi ya kuruka kamba tajiri utapungua tu Mimi nilikuwa na kilo 89 now zipo 65 daktari kanishauri nipunguze Tena kilo maana nilikuwa na kilo nyingi hadi mwili unapata ganzi miguu ila now nipo fiti mazoezi yanasaidia kuwa na kilo nyingi ni ugonjwa aisee
 
Usije kufa siku soo zako bossledi wetu jamaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚tutatoa wapi vocha sisi

Wewe punguza tu portion ya chakula
Na futa ratiba ya breakfast
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…