Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Nimevaa mamelodi Ubuntu bothokwhy tuone rangi ya jezi ulio vaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimevaa mamelodi Ubuntu bothokwhy tuone rangi ya jezi ulio vaa
Zimefikaaa, usijariiii.Msalimie wakili wangu
Unataka kuwa kimbaombao kama fimbo?Ahsante kipenzi mwenye hips zake Saint Anne Sasa mimi shape yako, naitamani nipungue nifike vile. Ningetupia kila muda 😅😅😅😅
Mungu akipenda kesho nitatupia. Usiku mwema wote, 😍😍😍😍😍
Nanimeona umepunguaAhsante kipenzi mwenye hips zake Saint Anne Sasa mimi shape yako, naitamani nipungue nifike vile. Ningetupia kila muda 😅😅😅😅
Mungu akipenda kesho nitatupia. Usiku mwema wote, 😍😍😍😍😍
Ahsantee, nitazifata. But kwenye kuishiwa hela nitakuwa kichaa, napenda hela uwiii. Nitaishi kwa shida sana. My Mom aliniambia, ningekuwa mwanaume ningekuwa jambazi, kwa kupenda hela 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unataka kuwa kimbaombao kama fimbo?
Njoo nikupe tips za kukonda😂😂😂
Ishiwa hela
Fanya kazi kwa muhindi
Zunguka barabarani machinga mimi
Kazi yangu ya kusafiri hadi nakonda njiaani.
Stress za wateja wa keki.
Fasting
Kula portion ndogo sana
Team Dr Lizzy
Yani ututengenezee mbantu awe na mwonekano wa wasepengaUnataka kuwa kimbaombao kama fimbo?
Njoo nikupe tips za kukonda😂😂😂
Ishiwa hela
Fanya kazi kwa muhindi
Zunguka barabarani machinga mimi
Kazi yangu ya kusafiri hadi nakonda njiaani.
Stress za wateja wa keki.
Fasting
Kula portion ndogo sana
Team Dr Lizzy
tunajua toa ilo bango uonekane kijana kuna mashangazi hapaNimevaa mamelodi Ubuntu botho
Hiyo ndiyo tip muhimu sana kuliko zoteAhsantee, nitazifata. But kwenye kuishiwa hela nitakuwa kichaa, napenda hela uwiii. Nitaishi kwa shida sana. My Mom aliniambia, ningekuwa mwanaume ningekuwa jambazi, kwa kupenda hela 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ChinowanamanYani ututengenezee mbantu awe na mwonekano wa wasepenga
Hapana mkuu 😂 sitoi bangotunajua toa ilo bango uonekane kijana kuna mashangazi hapa
😅😅😅😅😅 Jeans imebana sana, Chino, kila kitu kikabanwa. Ila natamani kupungua. Kuna vipipi unaendesha ukivinywa vya Canada. Ila uwe karibu na Toi... nilivivywa mara 3 tu. Yaani uache kazi, uanze kushinda Toi nikaacha.🥲Nanimeona umepungua
Aisee unatutaka nini kina chino
Kupungua ni sawa madammeChinowanaman
Eti wasepenga😂😂😂😂😂😂😂🙌🏿
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏿Kupungua ni sawa madamme
Ila ile ya sepenga ni too much.
Tajiri karibu home Kuna gym yangu hapa utapungua inshallah😅😅😅😅😅 Jeans imebana sana, Chino, kila kitu kikabanwa. Ila natamani kupungua. Kuna vipipi unaendesha ukivinywa vya Canada. Ila uwe karibu na Toi... nilivivywa mara 3 tu. Yaani uache kazi, uanze kushinda Toi nikaacha.🥲
Nguvu zote zilikuisha.😅😅😅😅😅 Jeans imebana sana, Chino, kila kitu kikabanwa. Ila natamani kupungua. Kuna vipipi unaendesha ukivinywa vya Canada. Ila uwe karibu na Toi... nilivivywa mara 3 tu. Yaani uache kazi, uanze kushinda Toi nikaacha.🥲
Ahsante huwezi amini home kuna gym na vifaa vyote. Nikifanya nikisema nipumzike tu. Ndiyo nafutuka mara mbili yake. Ila nitaanza soon ni ubusy tu nikiamka late, nikirudi jioni hoi. Nitakaribia na huko, kubadilishana ujuzi ☺️☺️☺️☺️Tajiri karibu home Kuna gym yangu hapa utapungua inshallah View attachment 3105800
Nawe mdau wa safari? 😂😂
Kuna siku nilikunywa safari watu walinishangaa sana.!!
Mi ndio kwanza sina habari nafungua kwa meno 🤣🤣🤣
Hata nyama za kuzugia hakuna😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏿
Ile ndio nzuri sasa
Karudi kuwa mtoto
Anza na mazoezi ya kuruka kamba tajiri utapungua tu Mimi nilikuwa na kilo 89 now zipo 65 daktari kanishauri nipunguze Tena kilo maana nilikuwa na kilo nyingi hadi mwili unapata ganzi miguu ila now nipo fiti mazoezi yanasaidia kuwa na kilo nyingi ni ugonjwa aiseeAhsante huwezi amini home kuna gym na vifaa vyote. Nikifanya nikisema nipumzike tu. Ndiyo nafutuka mara mbili yake. Ila nitaanza soon ni ubusy tu nikiamka late, nikirudi jioni hoi. Nitakaribia na huko, kubadilishana ujuzi ☺️☺️☺️☺️
Usije kufa siku soo zako bossledi wetu jamani😂😂😂😂tutatoa wapi vocha sisi😅😅😅😅😅 Jeans imebana sana, Chino, kila kitu kikabanwa. Ila natamani kupungua. Kuna vipipi unaendesha ukivinywa vya Canada. Ila uwe karibu na Toi... nilivivywa mara 3 tu. Yaani uache kazi, uanze kushinda Toi nikaacha.🥲