Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Bado naendelea kuhesabu magari..๐๐
Nipo mama wa cake. Vpi lakini business inaenda powa?
Hadi wewe shemeji huwa unaishiwa bando?Nilikua Sina bando aisee๐
Mwanzo mgumu, but itakaa sawa tu. PambanaBado naendelea kuhesabu magari..
Wateja sio watu๐๐๐๐
Siku mzigo ukiisha wanakuja Kwa nguvu
Nikishusha tu naanza kuwahesabu.
Naishiwa vizuri tu hapa nimekopa๐๐Hadi wewe shemeji huwa unaishiwa bando?
Au mlikuwa busy kuwapiga virungu wanaojidai wanaandamana
Wee๐คฃ๐คฃ๐คฃNaishiwa vizuri tu hapa nimekopa๐๐
Mungu ni mwema wanakuja sanaMwanzo mgumu, but itakaa sawa tu. Pambana
Nipe dili aisee, ni wapi huko?
Ingia chap bank mtu wangu, chukua loan. Kina lamomy usione wanatamba walikua kwa bank loans.Mungu ni mwema wanakuja sana
Mtaji tu ndio mdogo kwa kweli wateja wanakuja unakuta hakuna pepsi
Vinywaji vinatoka sana,,,mchawi mtaji tu.
WeIngia chap bank mtu wangu, chukua loan. Kina lamomy usione wanatamba walikua kwa bank loans.
Badala wewe unipe Mimi madili shemeji ๐Nipe dili aisee, ni wapi huko?
Kila kitu kina mwanzo wake, nenda bankWe
Mi kapuku tu
Bado kufika level hizo
๐๐Badala wewe unipe Mimi madili shemeji ๐
Ngoja nitaongea naye๐๐
Mm hali ngumu. Hapo nakushauri ongea na nkamu wako akupe ABC inaweza kukusogeza zaidi
WeKila kitu kina mwanzo wake, nenda bank
Naamini huwezi kukosa collateral
Yaah, mkiwa mnapeana maubuyu mnachomekea kidogo na mambo ya maendeleo๐๐Ngoja nitaongea naye
Huu muda tunaochat ujinga na Nkamu hapa ,heri Nkamu anifunze biashara
Mambo ya vichaka tukuachie wewe shemegi.
KabisaYaah, mkiwa mnapeana maubuyu mnachomekea kidogo na mambo ya maendeleo๐๐
Hata B money, ongea nae pia anaonekana ana roho nyeupe sana
Haya babeNikutumie number ya WhatsApp babe?
Uko jukwaani ujue....wataniibia๐คง๐คง๐คงHaya hii hapa baby
Haya nimefuta siusha chukua babeUko jukwaani ujue....wataniibia๐คง๐คง๐คง