Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Bado naendelea kuhesabu magari..😂😂
Nipo mama wa cake. Vpi lakini business inaenda powa?
Wateja sio watu😂😂😂😂
Siku mzigo ukiisha wanakuja Kwa nguvu
Nikishusha tu naanza kuwahesabu.