Selfika na JF: Snap it. Show it

Shangazi aliamka na tetekuwanga
Ngoja ziishe,atarudi alipoishia
Weeh!! Shangazi ana tetekuwanga? πŸ˜₯
Tumtumie pesa ya matunda apate nguvu mapema, hili pambano nataka liwe la kufungia mwaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Shangazi lazima achukue nakwambia 😹
 
Weeh!! Shangazi ana tetekuwanga? πŸ˜₯
Tumtumie pesa ya matunda apate nguvu mapema, hili pambano nataka liwe la kufungia mwaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Shangazi lazima achukue nakwambia 😹
Junia wake alibanwa na tetekuwanga
Ajabu mkemia wetu hadi tetekuwanga zimetaradadi mwili mzima wa Junia,haelewi kama ni zenyewe maskini.

Sijui amekapaka ile lotion ya tetekuwanga
Ngoja amalize kuuguza..
 
Junia wake alibanwa na tetekuwanga
Ajabu mkemia wetu hadi tetekuwanga zimetaradadi mwili mzima wa Junia,haelewi kama ni zenyewe maskini.

Sijui amekapaka ile lotion ya tetekuwanga
Ngoja amalize kuuguza..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nkamu ntakubonda
Kwahiyo hakuna umuhimu wa kemia?!!

Itakuwa alivurugika kuuguza kazi ujue, ila Junia apate uponyaji wa haraka.!!
Shangazi arudi tunamujitaji sana kwenye hii battle 😹
 
mtoto wa adoption ni mbay
Huyo wa kumzalia ndio tatizo lilipo mdogo wangu 🀣🀣🀣

Kuna waebrania ni kamzozo kumkabidhi mayai, acha niendelee kuangalia nikikosa nitaadopt kwan kuna shido?? 😹
a sana ukimkosa mtafute ata beach boy unamtegea tu ikishaingia umwambii hata najua mtoto mmoja ua wakija mapacha huwezi shindwa mlea wewe
 
mtoto wa adoption ni mbay

a sana ukimkosa mtafute ata beach boy unamtegea tu ikishaingia umwambii hata najua mtoto mmoja ua wakija mapacha huwezi shindwa mlea wewe
Nyooko kwelii wewee yani mi nikazae na beach boy? 😏
Point yangu hujaielewa, sitaki kuzaa na vichaa wala wanaume wa hovyo.!

Mtoto wa kuadopt ubaya wake nini??
Sema wamatumbi akili zenu mmezielekeza chini sana.!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nkamu ntakubonda
Kwahiyo hakuna umuhimu wa kemia?!!

Itakuwa alivurugika kuuguza kazi ujue, ila Junia apate uponyaji wa haraka.!!
Shangazi arudi tunamujitaji sana kwenye hii battle 😹
Kemia haiwezi kushindwa kutambua tetekuwanga hadi zimembana Junia mwili mzima.
Na zinavyoleta homa acha kabisa.

Atakuja humu na blah blah zake eti yeye bila hata kampani anatamba
Hapo ni baada ya company zake zote kubuma.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Imbombo jilipo Nkamu

Anavyopenda kampani yule weh asitudanganye hapa.!
Halafu odo Bl alikuwa shost yake naye waliishia wapi? 🀣🀣

Ila JF raha sana, humu tyuu.!
Haipoi wala haiboi
 
Nyooko kwelii wewee yani mi nikazae na beach boy? 😏
Point yangu hujaielewa, sitaki kuzaa na vichaa wala wanaume wa hovyo.!

Mtoto wa kuadopt ubaya wake nini??
Sema wamatumbi akili zenu mmezielekeza chini sana.!!
adoption hunakuwa una uchungu nae sana ujue dam nzito kuliko maji ee mtoto wa kumzaa ni mtamu sana ukimuona unafarijika sana haswa afanane na wewe ukiwa unamuangalia unasema nimejizaaa au akifanana na baba watoto wako ukimuona unafarijika sana

hawa wa adoption labda umchukue akiwa kichanga lakin akijitambua anakuwa shida first hujui history ya familia alio tokea ipoje na wengine asili yao aiwaachi inawafwata unakuta ukoo wake una.asili ya uchawi so ni hatari some how
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Imbombo jilipo Nkamu

Anavyopenda kampani yule weh asitudanganye hapa.!
Halafu odo Bl alikuwa shost yake naye waliishia wapi? 🀣🀣

Ila JF raha sana, humu tyuu.!
Haipoi wala haiboi
Hazitaki hizi mbichi shangazi
Kama vipi rudi tu Nkamu umpe kampani.

Sisi team shangazi tunaamini
Shangazi atarudi Kwa kishindo kama awamu ya sita,kujibu yale mapigo ya kina Bantu
 
Wewe kumbe kiazi, aliyekwambia mtoto ukimzaa mwenyewe kwa uchungu ndio atakuwa mtakatifu Nani??
Huyo unayezaa naye vipi km naye kwao wachawi?

Nyie ndio mnashindwa hata kusaidia ndugu zenu kwa β€œumimi” mnajijali wenyewe.!

Mimi nitaadopt mtoto yoyote ninayemtaka, tena uzuri wabongo wengi koo zetu zina umaskini wa kutupwa. Hivyo hata mtoto wa ndugu nitamchukua..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…