Selfika na JF: Snap it. Show it

Sema shangazi kajua kutusurprise
Tulitegemea atajibu mapigo na ile picha ya kitenge Cha Congo

Shangazi kavuka boda na bara hadi Uturuki.
Umeona mmechisho huo wa pochi?
Shangazi anakimbizaπŸ”₯
Ss hivi auntie shopping anafungia dubai hiyo pochi y’a Channel og, shati y’a ZARA kwetuuu rahaaaa.!!

Na shangazi wapambe kapata ashindwe yeye kujimwaya mwaya mwaka huu. 😹😹
 
Auntie alisema kwake ni mwisho reli
Bwana atazunguka weeeh halafu atarudi
Hajaree wala nini.

Shangazi hata akivaa gunia linamkaa..body ya nguo hiyo.
 
Ss hivi auntie shopping anafungia dubai hiyo pochi y’a Channel og, shati y’a ZARA kwetuuu rahaaaa.!!

Na shangazi wapambe kapata ashindwe yeye kujimwaya mwaya mwaka huu. 😹😹
Nadhani anafanya Istanbul
Shangazi ni wa kimataifa kitambo πŸ”₯
 
Auntie alisema kwake ni mwisho reli
Bwana atazunguka weeeh halafu atarudi
Hajaree wala nini.

Shangazi hata alivaa gunia linamkaa..body ya nguo hiyo.
Treeeenaah sijui wanaelewa lakini?
Auntie ni mmoja tyuuu.!! Hiyo watake ndio hawataki ndio 🀣🀣🀣

Ningekuwa mimi ndio shangazi ningewajibu, β€œMimi nikikuachia ujue nimemchoka” πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œyani km sijamchoka bwana humpati na ukikaza fuvu utatumiwa kwa muda kisha bwana atarudiii watu tumeogeshwa buanaaa na tumefundwa tukafundika…!!! 🀣🀣🀣

Nkamu shangazi afanye tupeleke talaka nginjanginja kwanza 😹😹
 
Shangazi kajua kutusua sana
Na ile midolari imefungwa kama maua kwenye birthday zake
Hatari sana

Jf nzima inatetemeka
 
Nadhani anafanya Istanbul
Shangazi ni wa kimataifa kitambo πŸ”₯
Au Pariiiii kabisa 🀣🀣🀣
Sele kaweza, mi shopping ya shangazi anakwea mwewe watu weweeeehh.!!

Shogaangu Kapeace fanya na wewe nikusindikize ukanunue viwalo Pariii basi nna hamu ya kuchafua passport 😹😹😹
 
Shangazi kajua kutusua sana
Na ile midolari imefungwa kama maua kwenye birthday zake
Hatari sana

Jf nzima inatetemeka
Auntie bday anapewa bunch ya flowers na dollars 😜
Shangazi yuko juu mawinguni, kweli huu mwaka wetuuu.!!

Kwetuuu rahaaa team shangazi woyeeeeee.!!
Shemeji Sele safiiiii?!!!
Mitano tena kwa shangazi na shem πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Akimaliza mitano,apewe mitano ✊🏿mingine
Kama CCM yaani

Shangazi alilia sana,tukamfuta machozi...sasa ni wakati wake wa kujimwayamwaya.
 
Au Pariiiii kabisa 🀣🀣🀣
Sele kaweza, mi shopping ya shangazi anakwea mwewe watu weweeeehh.!!

Shogaangu Kapeace fanya na wewe nikusindikize ukanunue viwalo Pariii basi nna hamu ya kuchafua passport 😹😹😹
Shangazi kwanza anang'aa ngozi utasema anaogea maziwa.
Hapo yupo mtukula anapigwa na vumbi huko
Imagine angekuwa Dar shangazi angekuwaje.
 
Bantu Lady
Le boss leidee
Tunasubiri kusafisha macho😍πŸ”₯πŸ”₯

Fanya kweli aisee tusafishe macho na ile shepu ambayo hakuna anayeifikia
 
Akimaliza mitano,apewe mitano ✊🏿mingine
Kama CCM yaani

Shangazi alilia sana,tukamfuta machozi...sasa ni wakati wake wa kujimwayamwaya.
Kwanza atulipe bana, ujue shangazi mapozi yamezidi kwa Sele siku mbili tatu hizi sio kwa fagio tulilomfagilia 🀣🀣🀣

Auntie nakutumia lipa namba unilipe hata nusu buana weeh 😹😹
 
Kwanza atulipe bana, ujue shangazi mapozi yamezidi kwa Sele siku mbili tatu hizi sio kwa fagio tulilomfagilia 🀣🀣🀣

Auntie nakutumia lipa namba unilipe hata nusu buana weeh 😹😹
Mimi mafao aambatanishe na vocha
Boss ledi hajawahi kufeli
Kwenye vocha alishanipaga za kutosha,Shangazi ndiye mwanzilishi w vochaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Haya mwite
Mafao yetu kwanza,ndipo kazi iendelee.
 
Shangazi kwanza anang'aa ngozi utasema anaogea maziwa.
Hapo yupo mtukula anapigwa na vumbi huko
Imagine angekuwa Dar shangazi angekuwaje.
Auntie kahama huko maporini kitambo Kwani huna taarifa? 🀣🀣
Auntie shem alishamvuta town ss hivi tupo naye jiji la lawama, auntie anashinda coco anakula mihogo kwa Aslay upo? πŸ˜‚
 
Mimi mafao aambatanishe na vocha
Boss ledi hajawahi kufeli
Kwenye vocha alishanipaga za kutosha,Shangazi ndiye mwanzilishi w vochaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Haya mwite
Mafao yetu kwanza,ndipo kazi iendelee.
Shangazi ndio bosslady wa kwanza humu, na kasema vocha tunazo wapambe wake.! 😜
Shangazi tajiriiiiiiiiiiii wa kwanza na wa mwisho hana mpinzani, km naongea uongo wajitokeze..! 🀣🀣🀣

Mafao muhimu atulipe hata kwa Mpesa mweh tumepambana kumpigania shangazi, mpk hatulali kwa wakati.. mi nilitishiwa talaka moja kisa shangazi kumpigania..! 🀣🀣🀣
 
Au Pariiiii kabisa 🀣🀣🀣
Sele kaweza, mi shopping ya shangazi anakwea mwewe watu weweeeehh.!!

Shogaangu Kapeace fanya na wewe nikusindikize ukanunue viwalo Pariii basi nna hamu ya kuchafua passport 😹😹😹
Mashemela wenyewe wameweka makofuli itabidi tuwaandalie semina aroo wasitufanyie hivyo
 
Tena shangazi alivyo na roho nzuri
Anaweza kuzinwaga vocha hapahapa tunaonaπŸ”₯πŸ”₯

Nadhani hakuna aliyefika level zangu za upambe kwa shangazi enzi hizo.

Mafao kwanza πŸ”₯
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mtukula ilikuwa siyo level za shangazi
Punde tu tutasikia mara Shangazi kawa Mkemia mkuu wa serikali.
 
Tena shangazi alivyo na roho nzuri
Anaweza kuzinwaga vocha hapahapa tunaonaπŸ”₯πŸ”₯

Nadhani hakuna aliyefika level zangu za upambe kwa shangazi enzi hizo.

Mafao kwanza πŸ”₯
Shangazi mbona sio shida zake we subiri aje uone wapambe wake tunavyooga vocha, shangazi za voda ziwe nyingi nijaze bando tuendelee kukupamba thawaaa.!! 😹😹

Sisi wote na coca team shangazi mwanzo mwisho na vocha tunazo, kazi kwako shangazi kutumwagia vocha na maforo mpk wateme bungo team pinzani 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…