Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sema shangazi kajua kutusurprise
Tulitegemea atajibu mapigo na ile picha ya kitenge Cha Congo

Shangazi kavuka boda na bara hadi Uturuki.
Umeona mmechisho huo wa pochi?
Shangazi anakimbiza🔥
Ss hivi auntie shopping anafungia dubai hiyo pochi y’a Channel og, shati y’a ZARA kwetuuu rahaaaa.!!

Na shangazi wapambe kapata ashindwe yeye kujimwaya mwaya mwaka huu. 😹😹
 
Shangazi nilijua toto kutoka dubenga au mwarabu wa Oman 😜
Auntie wa moto hapoi, fashion killer..
Kila outfit inakubali haikatai sijui mnanielewa nikisema auntie Hana mpinzani??

Kwa sele yupo sana
Mbili 25
Mbili 26
Mbili 27
Mbili 28 mpk mbili 30 oyoooooooooo.!!! 🤸‍♂️🤸‍♂️😹😹
Auntie alisema kwake ni mwisho reli
Bwana atazunguka weeeh halafu atarudi
Hajaree wala nini.

Shangazi hata akivaa gunia linamkaa..body ya nguo hiyo.
 
Ss hivi auntie shopping anafungia dubai hiyo pochi y’a Channel og, shati y’a ZARA kwetuuu rahaaaa.!!

Na shangazi wapambe kapata ashindwe yeye kujimwaya mwaya mwaka huu. 😹😹
Nadhani anafanya Istanbul
Shangazi ni wa kimataifa kitambo 🔥
 
Auntie alisema kwake ni mwisho reli
Bwana atazunguka weeeh halafu atarudi
Hajaree wala nini.

Shangazi hata alivaa gunia linamkaa..body ya nguo hiyo.
Treeeenaah sijui wanaelewa lakini?
Auntie ni mmoja tyuuu.!! Hiyo watake ndio hawataki ndio 🤣🤣🤣

Ningekuwa mimi ndio shangazi ningewajibu, “Mimi nikikuachia ujue nimemchoka” 👌👌👌yani km sijamchoka bwana humpati na ukikaza fuvu utatumiwa kwa muda kisha bwana atarudiii watu tumeogeshwa buanaaa na tumefundwa tukafundika…!!! 🤣🤣🤣

Nkamu shangazi afanye tupeleke talaka nginjanginja kwanza 😹😹
 
Shangazi kajua kutusua sana
Na ile midolari imefungwa kama maua kwenye birthday zake
Hatari sana

Jf nzima inatetemeka
 
Shangazi kajua kutusua sana
Na ile midolari imefungwa kama maua kwenye birthday zake
Hatari sana

Jf nzima inatetemeka
Auntie bday anapewa bunch ya flowers na dollars 😜
Shangazi yuko juu mawinguni, kweli huu mwaka wetuuu.!!

Kwetuuu rahaaa team shangazi woyeeeeee.!!
Shemeji Sele safiiiii?!!!
Mitano tena kwa shangazi na shem 😂😂😂
 
Akimaliza mitano,apewe mitano ✊🏿mingine
Kama CCM yaani

Shangazi alilia sana,tukamfuta machozi...sasa ni wakati wake wa kujimwayamwaya.
 
Au Pariiiii kabisa 🤣🤣🤣
Sele kaweza, mi shopping ya shangazi anakwea mwewe watu weweeeehh.!!

Shogaangu Kapeace fanya na wewe nikusindikize ukanunue viwalo Pariii basi nna hamu ya kuchafua passport 😹😹😹
Shangazi kwanza anang'aa ngozi utasema anaogea maziwa.
Hapo yupo mtukula anapigwa na vumbi huko
Imagine angekuwa Dar shangazi angekuwaje.
 
Akimaliza mitano,apewe mitano ✊🏿mingine
Kama CCM yaani

Shangazi alilia sana,tukamfuta machozi...sasa ni wakati wake wa kujimwayamwaya.
Kwanza atulipe bana, ujue shangazi mapozi yamezidi kwa Sele siku mbili tatu hizi sio kwa fagio tulilomfagilia 🤣🤣🤣

Auntie nakutumia lipa namba unilipe hata nusu buana weeh 😹😹
 
Kwanza atulipe bana, ujue shangazi mapozi yamezidi kwa Sele siku mbili tatu hizi sio kwa fagio tulilomfagilia 🤣🤣🤣

Auntie nakutumia lipa namba unilipe hata nusu buana weeh 😹😹
Mimi mafao aambatanishe na vocha
Boss ledi hajawahi kufeli
Kwenye vocha alishanipaga za kutosha,Shangazi ndiye mwanzilishi w vocha🔥🔥🔥

Haya mwite
Mafao yetu kwanza,ndipo kazi iendelee.
 
Shangazi kwanza anang'aa ngozi utasema anaogea maziwa.
Hapo yupo mtukula anapigwa na vumbi huko
Imagine angekuwa Dar shangazi angekuwaje.
Auntie kahama huko maporini kitambo Kwani huna taarifa? 🤣🤣
Auntie shem alishamvuta town ss hivi tupo naye jiji la lawama, auntie anashinda coco anakula mihogo kwa Aslay upo? 😂
 
Mimi mafao aambatanishe na vocha
Boss ledi hajawahi kufeli
Kwenye vocha alishanipaga za kutosha,Shangazi ndiye mwanzilishi w vocha🔥🔥🔥

Haya mwite
Mafao yetu kwanza,ndipo kazi iendelee.
Shangazi ndio bosslady wa kwanza humu, na kasema vocha tunazo wapambe wake.! 😜
Shangazi tajiriiiiiiiiiiii wa kwanza na wa mwisho hana mpinzani, km naongea uongo wajitokeze..! 🤣🤣🤣

Mafao muhimu atulipe hata kwa Mpesa mweh tumepambana kumpigania shangazi, mpk hatulali kwa wakati.. mi nilitishiwa talaka moja kisa shangazi kumpigania..! 🤣🤣🤣
 
Au Pariiiii kabisa 🤣🤣🤣
Sele kaweza, mi shopping ya shangazi anakwea mwewe watu weweeeehh.!!

Shogaangu Kapeace fanya na wewe nikusindikize ukanunue viwalo Pariii basi nna hamu ya kuchafua passport 😹😹😹
Mashemela wenyewe wameweka makofuli itabidi tuwaandalie semina aroo wasitufanyie hivyo
 
Shangazi ndio bosslady wa kwanza humu, na kasema vocha tunazo wapambe wake.! 😜
Shangazi tajiriiiiiiiiiiii wa kwanza na wa mwisho hana mpinzani, km naongea uongo wajitokeze..! 🤣🤣🤣

Mafao muhimu atulipe hata kwa Mpesa mweh tumepambana kumpigania shangazi, mpk hatulali kwa wakati.. mi nilitishiwa talaka moja kisa shangazi kumpigania..! 🤣🤣🤣
Tena shangazi alivyo na roho nzuri
Anaweza kuzinwaga vocha hapahapa tunaona🔥🔥

Nadhani hakuna aliyefika level zangu za upambe kwa shangazi enzi hizo.

Mafao kwanza 🔥
 
Ahaaa.! Shangazi kapangishiwa apartment kijichi 😂😂😂

Shangazi bado kununuliwa ist na shem sele na shule nasikia shem kamwambia anampeleka Feza akafundishe watoto wa vibopa 🤣🤣

Sema shangazi Sele akikaa vibaya nampeleka kwa boss wa wananchi 😂😂😂 shangazi kisu buana tumtoe mama krish
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mtukula ilikuwa siyo level za shangazi
Punde tu tutasikia mara Shangazi kawa Mkemia mkuu wa serikali.
 
Tena shangazi alivyo na roho nzuri
Anaweza kuzinwaga vocha hapahapa tunaona🔥🔥

Nadhani hakuna aliyefika level zangu za upambe kwa shangazi enzi hizo.

Mafao kwanza 🔥
Shangazi mbona sio shida zake we subiri aje uone wapambe wake tunavyooga vocha, shangazi za voda ziwe nyingi nijaze bando tuendelee kukupamba thawaaa.!! 😹😹

Sisi wote na coca team shangazi mwanzo mwisho na vocha tunazo, kazi kwako shangazi kutumwagia vocha na maforo mpk wateme bungo team pinzani 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom