Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
π€£π€£We mzee sumbai upewe nini
Sio Kwa kupotea huko jmnMiss you odo
Kosta unioni wameharibu Leo π πView attachment 3115270
Tangu Vijana wa hovyo wagundue apps za kupima umri halisi wa Wazee kupitia picha, Wazee tumeanza kutupia Kwa machale sasa ππ€
Chatini na Picha π
Ligi bado mbichi hii Kijana wangu, tukutane Mwakani panapo Majaaliwa tukinyanyua kwapa za Ubingwa πͺKosta unioni wameharibu Leo π π
Hongera kuwa na babygirl, nami nikija kupata mtoto wa kike wa Uzeeni na Bibi yenu nitahakikisha anaanza kusuka akiwa na miaka 3 π€Na Kimsichana changu.View attachment 3115291
π€£πππππππLigi bado mbichi hii Kijana wangu, tukutane Mwakani panapo Majaaliwa tukinyanyua kwapa za Ubingwa πͺ
Huyu shuleni wanaleta mikwara mbuzi hawataki wasuke.Hongera kuwa na babygirl, nami nikija kupata mtoto wa kike wa Uzeeni na Bibi yenu nitahakikisha anaanza kusuka akiwa na miaka 3 π€
Wakati huo huo, nitahakikisha nafuga Mbwa wa Kali kwaajili ya kuimarisha Ulinzi Kwa binti yangu ππ
Bora hasuki, Vijana wa hovyo wataacha kupita nyumbani na kuanza kuulizia Ice cream bure πHuyu shuleni wanaleta mikwara mbuzi hawataki wasuke.
Tukutane Taifa πͺπ€£πππππππ
Kwa aina ya kucha zako eeeh wewe ni....... mkono una misuli kabisa, hata 50 huna km umeenda sana ni 45 au 47 hapo sio mbaya unanifaa kwa matumizi ya kibinaadamu, black manView attachment 3115270
Tangu Vijana wa hovyo wagundue apps za kupima umri halisi wa Wazee kupitia picha, Wazee tumeanza kutupia Kwa machale sasa ππ€
Chatini na Picha π
Nipo odoSio Kwa kupotea huko jmn
Miss uuuu kipenzi π₯°π₯°
Hahaha..........thanks for the compliment young lady π€Έπ€ΈKwa aina ya kucha zako eeeh wewe ni....... mkono una misuli kabisa, hata 50 huna km umeenda sana ni 45 au 47 hapo sio mbaya unanifaa kwa matumizi ya kibinaadamu, black man
Haiombwi hivyo babuπ€£π€£Hahaha..........thanks for the compliment young lady π€Έπ€Έ
Kwa kuwa sijavuta Kiko yangu leo, fanya kuniletea ili nikusimulie na hadithi za mwaka 47 π€π
πππ una kucha kama za marehemu babu, alikuwa kitombile eeeleuwiiiii amefariki na 95 yrs ila mpaka akiwa na 93 tulikuwa tunamfuma amebambia house housegirlsHahaha..........thanks for the compliment young lady π€Έπ€Έ
Kwa kuwa sijavuta Kiko yangu leo, fanya kuniletea ili nikusimulie na hadithi za mwaka 47 π€π
Utapigwa 7 π π πTukutane Taifa πͺ
Koh Koh Koh............ukiona naongea na Wajukuu, jifanye haujatuonaπ€Haiombwi hivyo babuπ€£π€£
Hahahaha..............huyo Babu yenu, alikuwa hatari ππππ una kucha kama za marehemu babu, alikuwa kitombile eeeleuwiiiii amefariki na 95 yrs ila mpaka akiwa na 93 tulikuwa tunamfuma amebambia house housegirls