Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20240908_120221_668.jpg

Tangu Vijana wa hovyo wagundue apps za kupima umri halisi wa Wazee kupitia picha, Wazee tumeanza kutupia Kwa machale sasa 😜🤗

Chatini na Picha 👊
 
Hongera kuwa na babygirl, nami nikija kupata mtoto wa kike wa Uzeeni na Bibi yenu nitahakikisha anaanza kusuka akiwa na miaka 3 🤗

Wakati huo huo, nitahakikisha nafuga Mbwa wa Kali kwaajili ya kuimarisha Ulinzi Kwa binti yangu 👊🙌
Huyu shuleni wanaleta mikwara mbuzi hawataki wasuke.
 
View attachment 3115270
Tangu Vijana wa hovyo wagundue apps za kupima umri halisi wa Wazee kupitia picha, Wazee tumeanza kutupia Kwa machale sasa 😜🤗

Chatini na Picha 👊
Kwa aina ya kucha zako eeeh wewe ni....... mkono una misuli kabisa, hata 50 huna km umeenda sana ni 45 au 47 hapo sio mbaya unanifaa kwa matumizi ya kibinaadamu, black man
 
Kwa aina ya kucha zako eeeh wewe ni....... mkono una misuli kabisa, hata 50 huna km umeenda sana ni 45 au 47 hapo sio mbaya unanifaa kwa matumizi ya kibinaadamu, black man
Hahaha..........thanks for the compliment young lady 🤸🤸

Kwa kuwa sijavuta Kiko yangu leo, fanya kuniletea ili nikusimulie na hadithi za mwaka 47 🤗😜
 
Hahaha..........thanks for the compliment young lady 🤸🤸

Kwa kuwa sijavuta Kiko yangu leo, fanya kuniletea ili nikusimulie na hadithi za mwaka 47 🤗😜
😂😂😂 una kucha kama za marehemu babu, alikuwa kitombile eeeleuwiiiii amefariki na 95 yrs ila mpaka akiwa na 93 tulikuwa tunamfuma amebambia house housegirls
 
Haiombwi hivyo babu🤣🤣
Koh Koh Koh............ukiona naongea na Wajukuu, jifanye haujatuona🤗

Halafu hebu niangalizie Bibi yako huko nje, maana tangu aseme anaenda kuchota Maji kisimani hajarudi 😜
 
😂😂😂 una kucha kama za marehemu babu, alikuwa kitombile eeeleuwiiiii amefariki na 95 yrs ila mpaka akiwa na 93 tulikuwa tunamfuma amebambia house housegirls
Hahahaha..............huyo Babu yenu, alikuwa hatari 🙌

Mimi niko na 78 lakini nguvu za kupiga hata kimoja Sina, ndiyo maana nimekwambia uje nikusimulie hadithi😜
 
Back
Top Bottom