Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
🤣🤣We mzee sumbai upewe nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣We mzee sumbai upewe nini
Sio Kwa kupotea huko jmnMiss you odo
Kosta unioni wameharibu Leo 😂 😁View attachment 3115270
Tangu Vijana wa hovyo wagundue apps za kupima umri halisi wa Wazee kupitia picha, Wazee tumeanza kutupia Kwa machale sasa 😜🤗
Chatini na Picha 👊
Ligi bado mbichi hii Kijana wangu, tukutane Mwakani panapo Majaaliwa tukinyanyua kwapa za Ubingwa 💪Kosta unioni wameharibu Leo 😂 😁
Hongera kuwa na babygirl, nami nikija kupata mtoto wa kike wa Uzeeni na Bibi yenu nitahakikisha anaanza kusuka akiwa na miaka 3 🤗Na Kimsichana changu.View attachment 3115291
🤣😁😁😁😁😁😁😁Ligi bado mbichi hii Kijana wangu, tukutane Mwakani panapo Majaaliwa tukinyanyua kwapa za Ubingwa 💪
Huyu shuleni wanaleta mikwara mbuzi hawataki wasuke.Hongera kuwa na babygirl, nami nikija kupata mtoto wa kike wa Uzeeni na Bibi yenu nitahakikisha anaanza kusuka akiwa na miaka 3 🤗
Wakati huo huo, nitahakikisha nafuga Mbwa wa Kali kwaajili ya kuimarisha Ulinzi Kwa binti yangu 👊🙌
Bora hasuki, Vijana wa hovyo wataacha kupita nyumbani na kuanza kuulizia Ice cream bure 😜Huyu shuleni wanaleta mikwara mbuzi hawataki wasuke.
Tukutane Taifa 💪🤣😁😁😁😁😁😁😁
Kwa aina ya kucha zako eeeh wewe ni....... mkono una misuli kabisa, hata 50 huna km umeenda sana ni 45 au 47 hapo sio mbaya unanifaa kwa matumizi ya kibinaadamu, black manView attachment 3115270
Tangu Vijana wa hovyo wagundue apps za kupima umri halisi wa Wazee kupitia picha, Wazee tumeanza kutupia Kwa machale sasa 😜🤗
Chatini na Picha 👊
Nipo odoSio Kwa kupotea huko jmn
Miss uuuu kipenzi 🥰🥰
Hahaha..........thanks for the compliment young lady 🤸🤸Kwa aina ya kucha zako eeeh wewe ni....... mkono una misuli kabisa, hata 50 huna km umeenda sana ni 45 au 47 hapo sio mbaya unanifaa kwa matumizi ya kibinaadamu, black man
Haiombwi hivyo babu🤣🤣Hahaha..........thanks for the compliment young lady 🤸🤸
Kwa kuwa sijavuta Kiko yangu leo, fanya kuniletea ili nikusimulie na hadithi za mwaka 47 🤗😜
😂😂😂 una kucha kama za marehemu babu, alikuwa kitombile eeeleuwiiiii amefariki na 95 yrs ila mpaka akiwa na 93 tulikuwa tunamfuma amebambia house housegirlsHahaha..........thanks for the compliment young lady 🤸🤸
Kwa kuwa sijavuta Kiko yangu leo, fanya kuniletea ili nikusimulie na hadithi za mwaka 47 🤗😜
Utapigwa 7 😂 😂 😁Tukutane Taifa 💪
Koh Koh Koh............ukiona naongea na Wajukuu, jifanye haujatuona🤗Haiombwi hivyo babu🤣🤣
Hahahaha..............huyo Babu yenu, alikuwa hatari 🙌😂😂😂 una kucha kama za marehemu babu, alikuwa kitombile eeeleuwiiiii amefariki na 95 yrs ila mpaka akiwa na 93 tulikuwa tunamfuma amebambia house housegirls