Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapo uhakika, napenda kufanya kazi na Vijana wasioweza kupoteza muda wa mteja kama hivyo.

Wiki iliyopita nilihama gereji baada ya kuona Mafundi, wanataka kufanya service ya gari yangu Kwa masaa 8๐Ÿ™Œ
Karibu sana ofisini kwetu, mteja kwetu ni mfalme๐Ÿ˜‚

Pole sana, labda tatizo lilikua kubwa ndio maana wakataka kutumia masaa mengi Ila kubadilisha tu oil na filter haiwezi chukua huo muda
 
Karibu sana ofisini kwetu, mteja kwetu ni mfalme๐Ÿ˜‚

Pole sana, labda tatizo lilikua kubwa ndio maana wakataka kutumia masaa mengi Ila kubadilisha tu oil na filter haiwezi chukua huo muda
Nimevutiwa na theme campaign yenu ..."Mteja kwetu mfalme"

Tag location niwe nawatembelea
 
Jamaa walivyo wabunifu wanakupa na kisu ukate ya kuonja ๐Ÿ˜‹

Wale matomaso kama nilivyo Mimi, ili kula ni lazima tuhakikishe Mkia ni wa Mbuzi kweli ๐Ÿ˜œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ