Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

She thinks she’s a baddie 🤣.

IMG_7079.jpeg
 
Hapo uhakika, napenda kufanya kazi na Vijana wasioweza kupoteza muda wa mteja kama hivyo.

Wiki iliyopita nilihama gereji baada ya kuona Mafundi, wanataka kufanya service ya gari yangu Kwa masaa 8🙌
Karibu sana ofisini kwetu, mteja kwetu ni mfalme😂

Pole sana, labda tatizo lilikua kubwa ndio maana wakataka kutumia masaa mengi Ila kubadilisha tu oil na filter haiwezi chukua huo muda
 
Karibu sana ofisini kwetu, mteja kwetu ni mfalme😂

Pole sana, labda tatizo lilikua kubwa ndio maana wakataka kutumia masaa mengi Ila kubadilisha tu oil na filter haiwezi chukua huo muda
Nimevutiwa na theme campaign yenu ..."Mteja kwetu mfalme"

Tag location niwe nawatembelea
 
Back
Top Bottom