Selfika na JF: Snap it. Show it

Hawa watoto wa 2000 kwako si vilembwe hawa mzee.

Haha wazee wa sasa hivi mi nilidhani utaishia kwenye 199s
Wanasema kuangalia Jinsia tofauti ni tiba...

Wakati tunasoma Shule za boys tupu miaka ile, tulikuwa tunaletewa girls kutoka Shule za wasichana tupu ili walau tucheze nao Muziki..

Kwa kuwaona vile tu, unakuta ghafla umepona ๐Ÿค—
 
Anawapigaga mkwara wakina wanaman
Eti hajaree

Muongo
Hawakumuona kipindi ana machawa alivyokuwa anatamba
Thubutuuu.!! ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Yeye shanga atulie sisi ndio wanajeshi wake wa vita na hili analijua vizuri labda km anajizima dataโ€ฆ!!
Waasi walikuwa wanaenda kumpoteza na huyo sele asingerudi.. em kwanza atulipe NSSF zetu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Kumbe na wewe ni shahidi eeh nilivyokuwa chawa mpambe wa mnywani wako๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Afu sahivi anakudanganya eti jeshi la mtu mmoja bila backup

Haya
Tupia basi nikuone.
Vita zishaisha,amani imetawala
Waliogombana washayamaliza
Halafu ss hivi si tunachangamsha kijiwe, tumeokoka nkamu gwangu si eti? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Na tunapambana kumrudisha shangazi sokoni ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜น
 
Tarehe hizi shangazi anatoa wapi Hela?
Au za uandikishaji daftari la wapiga kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ