Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema kuangalia Jinsia tofauti ni tiba...Hawa watoto wa 2000 kwako si vilembwe hawa mzee.
Haha wazee wa sasa hivi mi nilidhani utaishia kwenye 199s
😂😂Sindiyo Bro..
Muache ajichanganye..!!
Hii ni Crown athleteF Challenge
View attachment 3121543
Hahaha...............hayo mambo ni Vijana, Mimi Kwa umri huu naishia kula Kwa macho 😜
Sorry for late replyGood morning Tayana-wog
😍
😍😍😍 babu huyo
Vipi bado hajarudia kumeza kitampi 😹😹😹Sijui kama atairudia
Asipoirudia nitakutumia
Uone shangazi yetu alivyo na vipaji vingi hadi vya kumeza tumbo
Thubutuuu.!! 🤣🤣🤣Anawapigaga mkwara wakina wanaman
Eti hajaree
Muongo
Hawakumuona kipindi ana machawa alivyokuwa anatamba
Hilo swali chino hawezi kujibu 😹😹Mnywani na Kapeace
Nani mkali zaidi?
Toa jibu 😹Haha unataka unifunge wewe!
Kumbe unajua, sasa unachoshindwa kumchana shangazi nini?? 😹😹kabla ya vita ya mashariki ya kati kuzuka nilikua mtupiaji mkuu sana humu ujue.
Sema ulikuwa busy ukimpatia silaha Israel avishambulie vikundi vya ugaidi vya Hezbollah na hammas
Ubaya ni kwamba hakimezekiVipi bado hajarudia kumeza kitampi 😹😹😹
Ila shanga ana hekaheka sana
Halafu ss hivi si tunachangamsha kijiwe, tumeokoka nkamu gwangu si eti? 😹😹😹Kumbe na wewe ni shahidi eeh nilivyokuwa chawa mpambe wa mnywani wako😂😂😂
Afu sahivi anakudanganya eti jeshi la mtu mmoja bila backup
Haya
Tupia basi nikuone.
Vita zishaisha,amani imetawala
Waliogombana washayamaliza
Tarehe hizi shangazi anatoa wapi Hela?Thubutuuu.!! 🤣🤣🤣
Yeye shanga atulie sisi ndio wanajeshi wake wa vita na hili analijua vizuri labda km anajizima data…!!
Waasi walikuwa wanaenda kumpoteza na huyo sele asingerudi.. em kwanza atulipe NSSF zetu 😹😹😹
Anashuhudia namna mnywani wake anatupwa nje ya top3Hilo swali chino hawezi kujibu 😹😹