Bado jiti la jana nilokuchoma linakuuma chogo πΉπΉ
ππππHivi nyie watu mko serious kweli ama mpo kwenye utani
Unajua hai-make sense eti niwe natoka na mrembo mmoja hapa, then nikamwambia huyo mrembo anitafutie mrembo mwingine niwe natoka naye.
Hivi inawezekana kweli?
Sijui lengo lenu kwenye hizi mada zenu zisizoisha humu.
Hata kama huwa tunataniana ila please naomba mniheshimu japo Kwa Umri wangu.
Naona umenikoti ili kujua kama nami nimevuka Mwaka 2024 sio π€ππππ
Babuuu bata hilo litakuharishia kimbia chap πββοΈNaona umenikoti ili kujua kama nami nimevuka Mwaka 2024 sio π€
Shukrani nyingi Kwa mola wetu kuweza kunipa pumzi na nafasi nyingine, nami kuwa ni sehemu ya wachache tuliovuka Mwaka 2024 na kuingia Mwaka huu mpya wa 2025 tukiwa wenye afya na siha njema
Kama upo Mjini, njoo hapa Norasco Pub hapa Kigamboni tuendelee kusherehekea
Nakuja ndugu yangu hiyo siku nilicheka sana happy new year mkuu heshima yako mkuuNaona umenikoti ili kujua kama nami nimevuka Mwaka 2024 sio π€
Shukrani nyingi Kwa mola wetu kuweza kunipa pumzi na nafasi nyingine, nami kuwa ni sehemu ya wachache tuliovuka Mwaka 2024 na kuingia Mwaka huu mpya wa 2025 tukiwa wenye afya na siha njema
Kama upo Mjini, njoo hapa Norasco Pub hapa Kigamboni tuendelee kusherehekea
Hahaha..........huo utani wenu Mjukuu mnaweza kusababisha Babu yenu nipigwe mawe nikiingilia, na hivi Sina mbio itakuwa balaa πBabuuu bata hilo litakuharishia kimbia chap πββοΈ
Kumbe familia Kabisa unakaa mtaani kwangu Kabisa mkuuNaona umenikoti ili kujua kama nami nimevuka Mwaka 2024 sio π€
Shukrani nyingi Kwa mola wetu kuweza kunipa pumzi na nafasi nyingine, nami kuwa ni sehemu ya wachache tuliovuka Mwaka 2024 na kuingia Mwaka huu mpya wa 2025 tukiwa wenye afya na siha njema
Kama upo Mjini, njoo hapa Norasco Pub hapa Kigamboni tuendelee kusherehekea
Ukija kabla ya saa 3 usiku utanikuta, ila ukizidi muda huo nitakuwa nimeshaondoka maeneo haya,Nakuja ndugu yangu hiyo siku nilicheka sana happy new year mkuu heshima yako mkuu
Uko hapa Maweni?Kumbe familia Kabisa unakaa mtaani kwangu Kabisa mkuu
Wala sitanii babu ndo uhalisia huo πΉHahaha..........huo utani wenu Mjukuu mnaweza kusababisha Babu yenu nipigwe mawe nikiingilia, na hivi Sina mbio itakuwa balaa π
Hujambo lakini?
Ndio nipo sports bar hapa na watoto wangu wanakula maishaUko hapa Maweni?
Wanaume wa kigamboni mna tatizo mahali πΉKumbe familia Kabisa unakaa mtaani kwangu Kabisa mkuu
Babu usijaribu kwenda umeona maweni shughuli zao πΉUko hapa Maweni?
Happy New year too MjukuuWala sitanii babu ndo uhalisia huo πΉ
Wewe huoni anavyojichekesha kwa wanaume wenzie, sasa ukimuuliza kilichomchekesha hapo nini km sio ushangingi tyuu.!!
Mzima babu hapi nyu hiya π₯³
Babu nipo Moro kwa bibi nakula pilau la mwanamke wa kimanga πΉHappy New year too Mjukuu
Nimefurahi kukuona tena Jukwaani
Sasa ufanye uje tuchome Mbuzi hapa nilipo π₯
Duh bora nimezeeka Babu yenu, sipatii picha miaka 20 ijayo hali itakavyokuwa πBabu usijaribu kwenda umeona maweni shughuli zao πΉ
Hongera Mjukuu, hao Wanawake wa Kimanga wana hatari balaaBabu nipo Moro kwa bibi nakula pilau la mwanamke wa kimanga πΉ
Huzuni sana.. na walivyo hawana aibu muda wote humu wanashinda kuwatag wanaume wenzao kwenye nyuzi na kujichekesha..! π₯Duh bora nimezeeka Babu, sipatii picha miaka 20 ijayo hali itakavyokuwa π
Mungu awasaidie Vijana wetu
Ndo huyo bibi yangu kizaa mama ana vituko sana.!! πΉπΉHongera Mjukuu, hao Wanawake wa Kimanga wana hatari balaa
Ingekuwa sijazidiwa na kilevi ningekupa kisa cha hao Wanawake wa Kimanga cha Mwaka 47 π
πHuzuni sana.. na walivyo hawana aibu muda wote humu wanashinda kuwatag wanaume wenzao kwenye nyuzi na kujichekesha..! π₯
Huko piem ndo balaa wanafanya vitu vya hovyo ππ