Saivi nina Siri za watu Mjukuu, Wacha nikuhadithie kesho nisije kuzimwaga kutokana na hiki kilevi 🤗Ndo huyo bibi yangu kizaa mama ana vituko sana.!! 😹😹
Napenda akikaa jikoni lazima mjing’ate hapa nimeshiba ndii 😀
Nipe hiyo story babu tena ulivyolewa ndo itanoga sasa 🤣
😹😹😹Saivi nina Siri za watu Mjukuu, Wacha nikuhadithie kesho nisije kuzimwaga kutokana na hiki kilevi 🤗
😍😍Happy new year to All members
Mungu ni mwema amewavusha salama,tukiangalia nyuma,wenzetu wengine walishatangulia mbele ya haki.
2025 ikawe mwaka wa Baraka.
Mvua ilikata Nkamu mboga zikakauka😍😍
Nkamu gwangu welcome back.!!
Nitumie nguniani na kipome, mvua nyingi najua zitakuwa nyingi za kutosha.!! 🤣
Mvua zinyeshe tule nguniani teta sie 😋Mvua ilikata Nkamu mboga zikakauka
Imeanza kunyesha jana
Ngoja wiki ipite.
Hahaha................naona unachochea kuni ili moto uwake😹😹😹
Babu mwaga kesho utaisingizia pombe bwana weeh 🤣
😹😹😹Hahaha................naona unachochea kuni ili moto uwake
Ngoja nimalize beer yangu ya mwisho nikalale tu, Kwa maana nimeshaanza kuwaona wahudumu wote wazuri
Sijui ni hizi beer zangu ama ni kweli wamependeza na hii sikukuu😜
Nimemaliza tayari mkuu .MENEMENE TEKERI NA PERESI mambo yameanza so kama unaweza pambania dogo mapema
vzrNimemaliza tayari mkuu .
Ashindwe yeye .🙏🙏
Naaaam, unakula vizuri sana kijana
Muhimu kujijariNaaaam, unakula vizuri sana kijana
Mambo yangu kabisaa 🤗
Af uonekaniMambo yangu kabisaa 🤗