Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndo huyo bibi yangu kizaa mama ana vituko sana.!! 😹😹
Napenda akikaa jikoni lazima mjing’ate hapa nimeshiba ndii 😀

Nipe hiyo story babu tena ulivyolewa ndo itanoga sasa 🤣
Saivi nina Siri za watu Mjukuu, Wacha nikuhadithie kesho nisije kuzimwaga kutokana na hiki kilevi 🤗
 
Happy new year to All members
Mungu ni mwema amewavusha salama,tukiangalia nyuma,wenzetu wengine walishatangulia mbele ya haki.

2025 ikawe mwaka wa Baraka.
😍😍
Nkamu gwangu welcome back.!!
Nitumie nguniani na kipome, mvua nyingi najua zitakuwa nyingi za kutosha.!! 🤣
 
😹😹😹
Babu mwaga kesho utaisingizia pombe bwana weeh 🤣
Hahaha................naona unachochea kuni ili moto uwake

Ngoja nimalize beer yangu ya mwisho nikalale tu, Kwa maana nimeshaanza kuwaona wahudumu wote wazuri

Sijui ni hizi beer zangu ama ni kweli wamependeza na hii sikukuu😜
 
Nimecheka khaaaa.!!
Babu ukiwachukua asubuhi unaanza kujutia maamuzi yako 🤣
 
50 years of friendship 🖤
FB_IMG_1735988760079.jpg
 
Back
Top Bottom