Mimi ni mwanaume arrijal sema six pack usiseme kiuno yuno?Sasa unataka kuweka nini
๐น๐น๐น Kwamba mi friji langu bovu?Unavyomjua yule ana siri?
Sasa mbona wanaume wanakuomba picha sana kumbe we kidume looh! Id yako nyingine ndio ile unaomba elfu 50 ukafuge vifaranga 10?Mimi ni mwanaume arrijal sema six pack usiseme kiuno yuno?
Kabisaa๐๐ฝKama una stress usiku na unataka muda uende zama selfika ๐๐๐๐๐๐
๐น๐น๐น๐น Mnatuchamba sasa..!!Wabovu wapo lakini ni kweli
๐น๐น๐น๐นnasikia wenye hasira hasira,wanaopenda ugomvi ,ukiona hivyo ujue yeye huyo
Hadi wewe ulikuwepo humu unaview pic?Unasema ukweli maana kuna mtu anajishaua sana nilimwangalia huku nikasema, aishi....
Uduguu shemeji yako Gwapole ananiponda eti najishaua kumbe mbaya..!! Sema hajakosea kapiga mule mule ๐น๐น๐นSubirii wakati mwingine.
umeamkaje๐น๐น๐น๐น
Em wekeni pic zao tuone..!!
๐น๐น๐น๐นHabari kwa ufupii,
Km unajijua ulikua unajiprosooo na bwana wa JF humu ndani, habarii ikufikie, mwenzio ubuyu kaumwaga kwa wambea na upo km ulivyo. Hadi picha zako za naked kwa juu. Zipoo.
Yaani Ubuyu upo na tunatambaa naoo, kaa kimastaa mwaegoo.
Waleteeeeeeeee katiiiiii!! ๐๐๐
Alamskiiiiii.
Salama shem za kwako?umeamkaje
๐น๐น๐น๐น Wee nawe mmbea mwenzetu ulijuaje?Alijizolea umaarufu mkubwa...na masista du wengi aliwatembezea sana mkong'oto hapa!
Mmbea mwenzenu nipewe pic basi ๐น๐น๐นHizo picha hata mi zilishanifikia. Inasikitisha!
Huyo babu miga bana..!!Si yule jamaa alikuwa akijinasibu ana hela za kwenye madini sijui akaanza kugawa vocha? Na alileta kizaazaa aliposema eti ana mkosi maana kila demu anayemla huyo demu ni lazima afe? ๐ณ๐ณ
Kwanini unanionea bure? Mimi sijawahi kuona picha zako ujueHadi wewe ulikuwepo humu unaview pic?
Kwahiyo unaniponda G ๐น๐น
Mwenyewe sikutegemea ๐ฅ๐๐๐ sijui wao wanao waamini wanaume wa JF tena wanao fly humu.
Wengi wao wapo kuwachora wanawake tu, wanawatumia then wanamwaga ubuyu na evidence kwa wambea.
Ila huyu member sikutegemea, ni kilaza kiasi hiki, anaonekana yuko intellectual and brilliant, kumbe daah.
Nachoka mie,
Mi pisi mbovu kweli hujakosea lakini sio vizuri kusema ukweliโฆ nimekupa hiyo tbtKwanini unanionea bure? Mimi sijawahi kuona picha zako ujue
Toto mashaallah! Fungua PM basiMi pisi mbovu kweli hujakosea lakini sio vizuri kusema ukweliโฆ nimekupa hiyo tbt
Haya niteke sasa mafwele ๐น๐น
View attachment 3673063