Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
tres bienSalama shem za kwako?
πΉπΉπΉπΉπΉMipira yake ilikuwa Audi, Rangers na BMWs. Na uwanja wake wa vita ulikuwa Morena Hotel Msamvu Moro.
........Mi pisi mbovu kweli hujakosea lakini sio vizuri kusema ukweli⦠nimekupa hiyo tbt
Haya niteke sasa mafwele πΉπΉ
View attachment 3673063
Babu miga hana kazi mbovu πΉπΉπΉUnamsemea Babu miga? Yule hela anazo, na migodi kweli ipo, afu sio mchoyo ni mtoaji, sema ana tabia mbaya sana ya udhalilishaji, hasa akikukuta limbukeni na kichwani empty.
ππππ
πΉπΉπΉπΉ Yule jamaa sasa hivi karudi kwa ids mpya na anawanasa sana chicken heads wetu wa hapa selfika na nna uhakika π― percent anahusika na hii connection mpya..!!Alikuwa na majigambo hana siri. Alikuwa anaweka picha hapa hapa
Huyo wige nasikia alikuwa hb la kwenda na kuna pisi alizipiga humu mpaka nyingine anazikataa yeye..!! πΉπΉπΉKila siku asubuhi, ma boss walikua wengi humu, babu miga, Wige, mjep
Etc.
Ko kila time vocha zinamwagwa hapa.
ππππ those days, daah.
πΉπΉπΉπΉπΉ Chale Huyo sasa hivi anajiita VincenzoPembeni kuna mjomba anasema sjui yupo nchi gan kumbe kigambon
Those days
πΉπΉπΉπΉ Mzee Wa ParisMbona yupoo na leo mlikua nae humu.
Si ni huyu Vincenzo Jr
πΉπΉπΉπΉJF kila mtu ni elite pia ni successful people na handsome.
Pia kila mtu anamfikisha mwanamke kileleni na kila mtu ana visa.
JF hapa we acha tu mkuu LEGACY zipo za kutosha π .
Kuna jamaa mmoja Alisha wahi kuja kuomba ushauri kwamba ka-retire so anataka adondoshe mansion ya 1B ko anaomba ushauri wapi atapata kiwanja.
Nlicheka siku nzima ile thread na jamaa yuko serious nkasema yeah watu ni maDONE sana humu π .
πΉπΉπΉπΉMimi nlivojoin nkakuta watu wanabrag humu nikaamini mgonga ulimbo ni mimi peke yangu
Kuna siku mwana mmoja alianzisha uzi amekwama kodi nadhani nikamchek Pm nikamsort sasa kama kuappreciate akaanzisha uzi wa kushukuru
AKANIMENTION BUIBUI NYOKA Oyaa Pm ni wanaume na wanawake wanaomba hela ndipo nlifunga Pm hadi leo
ππππ
Mwenyeweee aiseeee πΉπΉπΉπΉ
Kumekuchaaaa πΉπΉπΉDadiiii!! Ukiwa unaenda majuu tena plz nibebe na mie kaniache huko, ntajichanganya mwenyewe.
ππππ
Jamani wee uncle mbona una vitru vyangu..!!
Kama nakujua πΉ
Hauna office posta kiongozi?
Spider kanyooka na suti yake..!Oooh haya sasa, kumekuchaa!!
Mahansamu wanatetemesha uzi leo.
π₯π₯
πππOfisi Posta niitoe wapi mkuu? Qenye ofisi huko wamepiga shule, mie nilikimbia umande.View attachment 3673080
Mi mbovu mbona wala hujapigwa πΉπΉπΉTangu nianze kuona pisi za humu sijaona mbovu au TUNAPIGWA π ?
Mchukue udugu wangu akatulie majuu πΉHadi nimecheka kwa sauti. Majuu wapi mkuu? Kawaida tu
View attachment 3672989
View attachment 3672990
View attachment 3672991
πΉπΉπΉπΉπΉ Cheka manondo ndo wapi?Hahahaha, mtu yupo cheka manondo huko.
Then anadai yupo Amsterdam ila JF bhana ππππΎ