Huyo ni trible mate wangu nilimuita tuje tuoneshe mavitambi yetu huku kwa kilugha πSasa mbona wanaume wanakuomba picha sana kumbe we kidume looh! Id yako nyingine ndio ile unaomba elfu 50 ukafuge vifaranga 10?
Wog ukiamua kuyamwaga yamwage bana hizi unatoa kama preach hai sound kishengesha ujue..!! πΉπΉπΉImefika mahali unaogopa kukutana na mtu kisa utaambiwa umelala nae
Yaani mtu mzima ila nashangaa
Mi humu nina mtu 1 tu ndo ananijua ndani nje
Ni mwanaume na nusu ...im proud of him, hana kelele
Yaani jmn anaekula hana kelele mwingine ss kupata time ya kuonana imekuwa nongwa
Si upuuzi na upumbavu hana mbele wala nyuma
πππKesho tukiwa off mkinukishe uzi upigwe ban kwanza
Nasijila kumbe via una uswaswadu πMaskini ndo nakuja mtandao dadeki ulikata Anyway natumia kiswaswadu siwe9 ku selfka
Nimepitwaaacocastic
Steve Rogers
binti kiziwi
Seran
Chivundu
Christine_1
spidernyoka
Usiku mwema nipumzishe zangu fuvu
Watupe umbea bana weeh πΉπΉπΉWanatangazanaga humu
Moja ya sababu ya kukaa guard zipo juu ni hio
Mwana anapewa papa siku wakitibuana anayamwaga
Watu wanajuana, wanafahamiana, watu wanakulana humu ndani, polee yako km uko very anonymous.Sijui kwanini watu wanakua na flow za namna hii.
Asilimia 99% humu hatujuani haina haja ya baseless accusations.
Kwanini umchafue mtu ilihali humjui wala hata kuwahi kumuona ? Inafikirisha sana.
Brand kama brand πΉπΉπΉAnd that's why niliamua kukaa kimya since then
Watu walinishauri niachane nayo nikaona sio case nikapotezea..
Ila naona still hizi mambo kila baada ya muda zinarudi may be zikitolewa maelezo itasaidia..
Na akili akili za watu wanadhani mi nilipotea humu
Sikupotea, nilikuwa nauguza mzazi mpk anafariki ndo maana sikuwa humu almost a yr ...
Narudi uzi umefungwaπ€·ββοΈnapewa story tu ...
Aisee I can't take it anymore
Ila akili za watu wanadhani nilipotea kisa huo upuuzi..
ππkumbe mi brand watu wanahangaika
Mtajee huyo anaekula hana kelele, tumpe maua yakee, aloooohImefika mahali unaogopa kukutana na mtu kisa utaambiwa umelala nae
Yaani mtu mzima ila nashangaa
Mi humu nina mtu 1 tu ndo ananijua ndani nje
Ni mwanaume na nusu ...im proud of him, hana kelele
Yaani jmn anaekula hana kelele mwingine ss kupata time ya kuonana imekuwa nongwa
Si upuuzi na upumbavu hana mbele wala nyuma
Tetemeka ila usianguke, ubuyu wako ni muhimu sana. Plz ma mchunga.Aisee acha nitulie kwanza naona natetemeka
πΉπΉπΉ Unataka kuongea nini na pisi mbovu GToto mashaallah! Fungua PM basi
Mercitres bien
Nini?........
NKINDEDINasijila kumbe via una uswaswadu
Anatuchelewesha ujue πΉπΉπΉUlale unono, kesho uje PM
Badoo, tusubiri anakuja nalo
Kiwake leo weekend uduguu πΉπΉπΉUduguu, unataka kukiwashaa mapema hivii?
Aaah taratibuu ππ
Saka uduguu bongo nyoso πΉπΉNasaka fursaa uduguu, πππ
πΉπΉπΉ Weeh usinambie?!!Tena alikua ni davoo wa trucks za kwenda nje ya nchi.
Kawapiga mnoo, ππ
Taratibu uduguu, usiwe na paparaa, mbona unataka kuunguza sript.πΉπΉπΉπΉ
Halafu mwenyewe hata hajui maskini anajianika wakati tunamjua in and out πΉπΉ
JF ya kingese sana nachoka mimi..!!
Na ana mdomo alitema shit sana kwenye uzi mmoja natamani ajae kwenye mfumo wangu..!!
Yani unamuita huyo jamaa ni pisi ya kwendea...Hawaiombi hivyo..!!
Kwa taarifa yako coca ni pisi ya kwendea hana hata hizo ndevu unazosema. Acha chuki zako..!!
Selfika yako tuone πΉ