Nilikuwa nimelewa mi mbona mstaarabu sana braza chino😃Sema unayaweza!! Umejifunzia wapi. Lini tena sasa!!
We changanyikiwa at ur own risk baba mimi sihusiki🙌🏾Aweeeh! jana nimekaa hadi saa nane nikiona unavotubless wana mara mbili mbili nikajithibitishia kuwa ndio maana wadau kila kukicha uzi juu yako
Do the needful kabla uzi haujachafuka mnywani!Sema unayaweza!! Umejifunzia wapi. Lini tena sasa!!
Yani weww umelala jana kwa raha gani🫢Tupia mamy
Zama zile mambo yalikua live sasa ivi kina Seran hawataki tulione. Wakati kipinde kile mnywani wewe na mbantu mlikua mnayaachia live! Si ya kwenu Allah kajalia.Amekua mwoga sana sikuhizi sijui kwanini!!
Mwambie Nimemiss kuona dimpoz na location zaukwee!
Kwani Kuna harufu ya damu mnywaniDo the needful kabla uzi haujachafukwa mnywani!
Saii pako shwari mnywani hata wer siunaona hali ya hewa tulivu kabisa.Kwani Kuna harufu ya damu mnywani
Umeanza lini uswahili wee mnywani??? Hadi utoke huko nileo!!Ngoja niingia masjid nikirudi uhakika
Yaani unataka kusema nilipitiwa?Yani weww umelala jana kwa raha gani🫢
Mlongo.Watu weuweeee!! Ma mchunga ni brand kubwa JF.
Wee huogopiii?
Kumbe kuna uzi kuchafukwa na hamtwambii🥲Do the needful kabla uzi haujachafukwa mnywani!
Risk tenaah!!We changanyikiwa at ur own risk baba mimi sihusiki🙌🏾
Mnataka kuchinjana live😃Kwani Kuna harufu ya damu mnywani
Nimeingia asubuhi nkaskia usiku nusura damu zimwagike ila huu uzi ina helaheka sijawahi ona.Kumbe kuna uzi kuchafukwa na hamtwambii🥲
Yani unaenda kufanya nn masjid kama unajiandaa kushuhudia vita kijana😆Ngoja niingia masjid nikirudi uhakika