Anaua brand sasa, haoni wenzake kila sokomoko linalotupata bado tuko nginja nginja.πΉπΉπΉπΉ ukute katulia anatusoma, wog namjua muoga muoga..!!
ππππHizo nguvu azitumie kwako bana, mi hapo shem ananiudhi anatupa kazi kuwachamba michepuko yake..!! πΉπΉπΉ
Babu miga yupo udugu na anatamba kama sio yeye πΉπΉπΉππππ
πΉπΉπΉNimemuonaa uduguu, πππ
La siku ile umesahau πΉπΉπΉπππ ni Leo au??
πΉπΉπΉ Halafu yeye ndo atamfufua wakati tulishamfanyia matanga babu miga na mshumaa tukamuwashia..!!Apotezee tu asijiumize moyo kwani ni mambo za longi time !!
πΉπΉπΉ Mama wa brand wog mwenyewe..!!πππ naomba niache plz, nacheka km mwehu hapa.
Ana Nguvu nyingi sana pekeangu ataniua wacha asambaze upendo! Try him ujionee !!!!βΊHizo nguvu azitumie kwako bana, mi hapo shem ananiudhi anatupa kazi kuwachamba michepuko yake..!! πΉπΉπΉ
πππππΉπΉπΉ Mama wa brand wog mwenyewe..!!
Ikitoka Vogue inafata brand ya Wog we huogopi??
Nakumbuka, tulilimwa ban mnoo.La siku ile umesahau πΉπΉπΉ
πΉπΉπΉ Tustaafu uduguu, tatizo wa kuwapa kijiti hawaonekani..!! Wote bado hawaja qualify mashengesha yetu..!!Anaua brand sasa, haoni wenzake kila sokomoko linalotupata bado tuko nginja nginja.
πππ
Haswaaa!! Hawapo maana wanaacha ndala mapema sana.πΉπΉπΉ Tustaafu uduguu, tatizo wa kuwapa kijiti hawaonekani..!! Wote bado hawaja qualify mashengesha yetu..!!
πΉπΉπΉ Wewe ndo mwenyewe tandam hapo unafit unaachaje wengine wakusaidie?Ana Nguvu nyingi sana pekeangu ataniua wacha asambaze upendo! Try him ujionee !!!!βΊ
Na sie na ban πΉπΉNakumbuka, tulilimwa ban mnoo.
πππ
Sisi kazi yetu ni kuchochea ili files zimwagike waziii.Na sie na ban πΉπΉ
Halafu ule ugomvi tulivyoushadadia mpaka watu wakamwagika bila kupenda..!!
Mi nilitaka kumpa kijiti Wog lakini Wog mwenyewe kakimbia πΉπΉπΉHaswaaa!! Hawapo maana wanaacha ndala mapema sana.
Tubless tuliopo mama Mio πspidernyoka naona umetoka online wacha nikapumzishe fuvu langu sasa kesho nayo siku!
Mrare unono wapendwa.
πΉπΉπΉπΉ Siku hizi zinashuka zenyewe sisi kazi yetu ni kuweka mzigo mezani hatuhitaji cross examination kwa mashahidi..!!Sisi kazi yetu ni kuchochea ili files zimwagike waziii.
ππππ tunaiweza na tunaimudu.
ππnaomba ibaki hivyo tu maana kujitetea sitaweza πChicca ana bahati nzuri sana kamati haijawahi kukaa kwa ajili yakeπ