binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Imeisha hiyoโฆ..๐น๐น๐น Kaptula ya nyuzi nyuzi..!!
Ujue hiyo siku nna mpango wa kupanda stejini, sasa kuchekesha watu sitakiiii ๐น
Jitahidi mate hiyo siku uwepo jijini tukaimbe na mahi wetu..!!
๐ฅ๐ฅ Fally ana hit song tupu..!!May day nyimbo pendwa
Wii jitahidi msanii wetu pendwa amekuja home ๐ฅ๐ฅNdiyo najiwazisha hapa kama nitaweza kwenda ama la..!๐
Nampenda Fally na sijui hata kama anajua..!
๐น๐น๐น Mi naiwaza sitaki kitokee chochote cha kunizuia..!!Imeisha hiyoโฆ..
Kuna rafiki yangu yuko excited jamani siku hiyo sijui atafanyaje.
JF ina mahensamu, afu mbona km, ..........
๐JF ina mahensamu, afu mbona km, ..........
Nasubiri shemeji anipe hela๐ฅ๐ฅ Fally ana hit song tupu..!!
Japo na hiyo nayo kali.
Vipi utaenda? ๐น
Uko haraka sana mganga
Duli wa mama duliJF ina mahensamu, afu mbona km, ..........
๐๐๐ khaaahDuli wa mama duli
Nimekuja mamaa..Kuna na namba 9 dr
Mkija mnipigie!!
Sio nikushushie pm๐น๐Shusha sample nichague ๐น
Mrembo tu-bless uitetemeshe Jf kidogo๐๐Sio nikushushie pm๐น๐
Unasema nishushie ww umeshushia wapi๐Mrembo tu-bless uitetemeshe Jf kidogo๐๐
Maisha yamenila kiboga lamama najikuta tunapishana sana kijiweni..Nimekuja mamaa..