๐ hizo ni picha tu zisikudanganyeHahahaha..
SIwezi kuvumilia utaniuwa weeee
Nitakuua na nini chino๐SIwezi kuvumilia utaniuwa weeee
Mbona nimenyooka kabisa hapo!Nitakuua na nini chino๐
Ila chinoMbona nimenyooka kabisa hapo!
Ananikwaza, ananiumiza roho na pata ghazab ila nakaza roho!Ila chino View attachment 3689798
Gen z hausahau tu ๐
Kweli wewe ni chica ๐ฅ ๐ฅฐ
Huyu gen z alikua anapita kama upepo ๐Tajiri kumbe Chica Gee alitupia picha hapa na hukunitonya! Acha roho mbaya tajiri. ๐
Kaka Chica Gee ni pisi sana ๐๐
Kaka Chica Gee ni pisi sana ๐
Chica Gee ni mfano halisi wa uumbaji wa mungu ๐.Usininambie mkuu! Mweupe? ๐
Chica Gee ni mfano halisi wa uumbaji wa mungu ๐.
Nani huyo chino akeee๐Ananikwaza, ananiumiza roho na pata ghazab ila nakaza roho!
Nimemuonyesha shem wako kaniuliza, โUnaongozana na nani ukiwa umevaa huo upuuzi?โ ๐น๐น๐นWa motooo, nilimwambia Lamomy hata kipensi kitakuwa kizuri cha uzi.
Udugu pita nione rangi ya mtume, tena upite kwa kishindo cha wakoma kushangilia ushindi wa mnyama..!! ๐น๐๐๐
Ni kweli shem anajua.Nimemuonyesha shem wako kaniuliza, โUnaongozana na nani ukiwa umevaa huo upuuzi?โ ๐น๐น๐น
Kasema nguo za beach hizo acha ushamba..!! Nimecheka sina hamu.!