Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹😹 Na wakaka wa humu wako chap kushusha pdf wakitoka kutafuna mizigo..!!
Demiss aliwekaga picha yuko hotel flani sijui anakula maisha sijui anatumia mshahara!!

Baadae lijamaa nalo likatuma picha za hotel hio hio
 
😹😹😹 Mi jeuri na nna dharau ndo tatizo langu kubwa..!!
Mkongo na lemba hua linawahusu!
Mtu anajisemea Yani Leo huyu kanikubalia acha nijikoki

Hapo utapigwa nao mpaka ujute.

Anajua unaweza usirudi tena

Kwaiyo ndondo litalopigwa hapo oyaaaa
 
Mkongo na lemba hua linawahusu!
Mtu anajisemea Yani Leo huyu kanikubalia acha nijikoki

Hapo utapigwa nao mpaka ujute.

Anajua unaweza usirudi tena

Kwaiyo ndondo litalopigwa hapo oyaaaa
😹😹😹 Ni vita?

Ila wanaume mna ujinga mwingi..!!

Sasa huko si kutoana damu na kukomoana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…