Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na sie ndo tulichompinga tena pasipo kumtusi

Leo kapost yake nikaiona na hana swaga kama anavyojishaua,,,,, huyo kashalipuka maskini kitoto cha mama

Naisubiri pic yako ex share hata mguu tu ila hakikisha isisifiwe kuzidi zangu
Tatizo anaonekana ana dharau,jana nimesoma comment yake moja eti miguu aliyopost scorpio me inazidi picha za wote humu...ni maoni yake lakini yamekosa busara kabisa
 
Halafu nimegundua picha nyingi zinazowekwa humu ni za viungo vya kutamanishana tu. Halafu huoni chote unabaki tu na hamu zako[emoji30][emoji30][emoji30][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Mungu anawaona
Na nilijua ni kwa mazingila uliopo umechil mahala unafotoa kumbe hata za google poa tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna raha kama unagombana na mtu alafu unamchora...

Mkuu hapo ndio nimekuelewa yani wewe majibu yako simple sana ... Wanakujibu kwa hasira na kujifariji, ngoja niishie hapa maana nishatukanwa na kugombana na wanawake siwezi
Nacheza na akili zao si majinga haya... Wadada wenye akili na walio starabika huwezi kuta wanabishana icho kitu..

Kama Meeyah, na sakayo ni watu waliostarabika.. Hata kama ni kweli nimekosea wangetumia njia ya kistaarabu kuniambia

We angalia akili zao zilivyo mbovu wameshaanza kutumia personal attacks..

Hata mimi nimepoteza mda mwingi sana bora ningesoma biblia, Nilijua Jf wamestaaribika kumbe wapi..

Sasa hiyo ni mi mama ya miaka 30 inashindana na mimi miaka 20 ...ulafu unakuta ina mitoto mikubwa
Kwa sisi wataalamu wa kusoma miandiko tumeshagundua hizi I'd ni mbili lakini zinamilikiwa na mtu mmoja.
.
Angalieni aina ya uandishi na vi ....
.
Umeona haupati backup yoyote kwa wanaume ukakumbuka una id mbili acha ujipigie assist.
.
Na mimi nimeona picha yako ni bonge la mshamba yani. Upo hovyo hovo haujui hata kuvaa. Umekaa kama mtu wa zamani.
.
Una miaka 20 mbona picha yako inaonekana kama mzee? Kweli ukiwa mjinga unazeeka ingali una umri mdogo.
 
Hannah nia yake akutoe kwenye mudi, usimjibu tena
 
Back
Top Bottom