MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Kwa hyo kusifia wanye nyama automatically nakuwa nimewadis wembamba ? [emoji16]Umetudiss sisi vimbaumbau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hyo kusifia wanye nyama automatically nakuwa nimewadis wembamba ? [emoji16]Umetudiss sisi vimbaumbau
Kweli?Utaziona
Nimetumiwa japo yeye kaona aibu akaenda kuifuta.Sikuikariri post namba ngapi
Na sikujisumbua kuisave sababu sina hulka hiyo ya ushukununu
Ila alikuwa ufukweni na begi kwa nyuma ni mkaka wa kawaida ila hakuwa na swaga classic anazojitia kudolishia
UngejuaUmetudiss sisi vimbaumbau
Hongera MeeyahHaya sasa, twendeeeView attachment 1219548
Msamehee mtoto tafazali 😂😂Kwa sisi wataalamu wa kusoma miandiko tumeshagundua hizi I'd ni mbili lakini zinamilikiwa na mtu mmoja.
.
Angalieni aina ya uandishi na vi ....
.
Umeona haupati backup yoyote kwa wanaume ukakumbuka una id mbili acha ujipigie assist.
.
Na mimi nimeona picha yako ni bonge la mshamba yani. Upo hovyo hovo haujui hata kuvaa. Umekaa kama mtu wa zamani.
.
Una miaka 20 mbona picha yako inaonekana kama mzee? Kweli ukiwa mjinga unazeeka ingali una umri mdogo.
Ishia hapo tafadhali.Kwa sisi wataalamu wa kusoma miandiko tumeshagundua hizi I'd ni mbili lakini zinamilikiwa na mtu mmoja.
.
Angalieni aina ya uandishi na vi ....
.
Umeona haupati backup yoyote kwa wanaume ukakumbuka una id mbili acha ujipigie assist.
.
Na mimi nimeona picha yako ni bonge la mshamba yani. Upo hovyo hovo haujui hata kuvaa. Umekaa kama mtu wa zamani.
.
Una miaka 20 mbona picha yako inaonekana kama mzee? Kweli ukiwa mjinga unazeeka ingali una umri mdogo.
Hahahahah umenizidi wehu walahi tenaNimetumiwa japo yeye kaona aibu akaenda kuifuta.
Umesema ni mkaka wa kawaida?
Acha utani haujaona kasema ana miaka 20? Jitu lipo kama mzee wa miaka 70 huku ana miaka 20 bado unaona ni "mkaka wa kawaida"?
Alivovaa sasa kama anaenda kuchunga ng'ombe na hapo ndio kajipigilia ili apost picha huku. Nimechekaaaa
Kwa Lile umbo hapo ndo unapojua bara letu tukufu la mama Africa limebarikiwaMiminimama usipopata mume leo kaogee baharini kwa pic za leo mpaka saiv kumi na robo alasiri umetikisa.....tunaendelea
Nimemalizana nae sasa.Ishia hapo tafadhali.
Hafu mbona mii sina bahati?
Anausoma kwa kuchungulia hahaha km namuona roho inavyomuumaKwa Lile umbo hapo ndo unapojua bara letu tukufu la mama Africa limebarikiwa
Yule aliesema wadada wa huku wabaya hivi alipitia huu uzi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].Hahahahah umenizidi wehu walahi tena
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Msamehee mtoto tafazali [emoji23][emoji23]
😂😂 naogopa mie kutupia. Kuna Dada alitupia chura amazing, ulikuwa wapi?Nashindwa kuulewa utasema page ya wauza viatu embu tupieni vitu bwana
Kivipi boss?