Selfika na JF: Snap it. Show it

Wapo wanaokuhurumia unavyoteseka kuubeba.

Kuna wale ukipanda gari nao wanakereka kabla hata hujafika kwenye kiti

Hebu jiulize mwenye mke alivyo kwenye kitanda mpaka kiwe nane kwa sita ndiyo mnaenea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe kuna watu wananinyanyapaa bila Mimi kujua
 
NTARUDI BAADAE NAOMBA NIKUTE MISAMBWANDA KAMA YOTE MAUMBO KAMA YOTE MSITUFANYE WAPENZI WASOMAJ WA HUU UZI TUWE DISSAPOINTED KAMA WALE JAMAA WALIOZAMA PIEMU YULE DADA ALIEKA PICHA ZA UONGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…