Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siku ipi hiyo jamani!!

Halafu wewe ndo ulinichokoza, na nikakuacha tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeikumbuka ni siku ipi??
 
Relax kakake
Nilomuweka ni role model wangu... Halafu nishaweka picha zaidi ya saba humu! Sijui umeligundua hilo?!

Ile mara ya kwanza sio kwamba nilishindwa kuweka, HAPANA! Privacy yangu inakuja kwanza ndo hayo mengine!!

Jiulize kwa nini hujaona hizo nyingine tano umeona mbili tu?! Relax, humu ni chit chat!
 
Hujaiona reception ya sakayo itakuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…