Beverlyn
JF-Expert Member
- Aug 17, 2019
- 704
- 2,907
[emoji23][emoji23][emoji23] I'll try CresidaAaaa capuccino weee try to be feminine ha ha ha ha nimecheka sana
Viemoj kwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] I'll try CresidaAaaa capuccino weee try to be feminine ha ha ha ha nimecheka sana
Tumeni sana tu, naona mmeukwaa mkenge, iko hivi Huyu mtu sijui kaambiwa nanani asaidie kutambua watu, intelligence haitumii nguvu! Ukipiga picha na simu yako kisha ukaiaplodi huwa picha inatabia ya kuwa na details zoooote kama mfatiliaji akiwa na Modern Image Analyzer au Advanced Metadata Software, hadi namba ya simu card inaweza kuwa revealed.
Upo uwezekano wa kutuma Spyware article yenye reverse mode kutrack details zako zote, inaweza kuwa imepandikizwa kwa video clips au picha yenye mvuto.
JF ilikumbwa na kazia ya kutakiwa kutoa identity za members.
Acheni ushamba
Sidhani kama unaweza kujua number ya simu kwa kutumia details fichwa za picha iliyopigwa na kamera ya simu...
Kuna vitu vingine kama location (geo location), jina la simu, muda picha imepigwa n.k...
Hebu acha kuingilia uhuru wa watuTumeni sana tu, naona mmeukwaa mkenge, iko hivi Huyu mtu sijui kaambiwa nanani asaidie kutambua watu, intelligence haitumii nguvu! Ukipiga picha na simu yako kisha ukaiaplodi huwa picha inatabia ya kuwa na details zoooote kama mfatiliaji akiwa na Modern Image Analyzer au Advanced Metadata Software, hadi namba ya simu card inaweza kuwa revealed.
Upo uwezekano wa kutuma Spyware article yenye reverse mode kutrack details zako zote, inaweza kuwa imepandikizwa kwa video clips au picha yenye mvuto.
JF ilikumbwa na kazia ya kutakiwa kutoa identity za members.
Acheni ushamba
Sasa mimi niache kupost chochote namuogopa nani mzeebaba?Tumeni sana tu, naona mmeukwaa mkenge, iko hivi Huyu mtu sijui kaambiwa nanani asaidie kutambua watu, intelligence haitumii nguvu! Ukipiga picha na simu yako kisha ukaiaplodi huwa picha inatabia ya kuwa na details zoooote kama mfatiliaji akiwa na Modern Image Analyzer au Advanced Metadata Software, hadi namba ya simu card inaweza kuwa revealed.
Upo uwezekano wa kutuma Spyware article yenye reverse mode kutrack details zako zote, inaweza kuwa imepandikizwa kwa video clips au picha yenye mvuto.
JF ilikumbwa na kazia ya kutakiwa kutoa identity za members.
Acheni ushamba
Mtu poa sana huyo ana wachumba mpaka anawakimbia anakutisha tu.Sasa mdada mzuri unakuwaje mkaanga sumu jamani?
Utakosa wachumba
SawaSidhani kama unaweza kujua number ya simu kwa kutumia details fichwa za picha iliyopigwa na kamera ya simu...
Kuna vitu vingine kama location (geo location), jina la simu, muda picha imepigwa n.k...
Kabla hujapost lazima ujijue wewe ni nanii na nani ana mda wakukufuatilia wewe....Sasa mimi niache kupost chochote namuogopa nani mzeebaba?
Post zako huwa zinajieleza, Russia na Rwanda walau wanamfumo wa kuextract sensitive Intel kwa kutumia mabinti warembo sana ambao wengi huwepo kwenye social midia na wakikutaka huko huchomoki, angalia RED SPARROWMembers wa hapa ni wa MMU na chit chat.
Babuu usitutishe
Hebu acha kuingilia uhuru wa watu
Wacha watu waweke picha!!
HahahahahaWe ndio uache ushamba, utakuwa mhalifu wewe si bure.
😀 😀Huo mkono wa kushoto wenye saa huo weusi ni wa manyoya au uliungua mkuu ktk shughuli zako za ulozi?
Pole sana! ID zote ziko recorded, bado final matching ndio inaumiza kichwa so by any means mnajitahidi kutoa details zenu kwa intelligence corner wenye mitambo na software advanced sana za analysisNa hiyo ni kwa EXPERT ndo wenye uwezo wa kujua device iliyotumika kupiga picha, mahali na mda ila mtu kama Sakayo hawezi kujua halafu kingine wote wanaojiachia humu hawatunishi misuli siasani wote ni wa mmu, chit chat na jukwaaa letu lile ambalo halipo kwa sasa.
HahahahahaNa hiyo ni kwa EXPERT ndo wenye uwezo wa kujua device iliyotumika kupiga picha, mahali na mda ila mtu kama Sakayo hawezi kujua halafu kingine wote wanaojiachia humu hawatunishi misuli siasani wote ni wa mmu, chit chat na jukwaaa letu lile ambalo halipo kwa sasa.
GT mistari yangu imetoa angalizo tu, unaweza tupa kule, who cares anywayKabla hujapost lazima ujijue wewe ni nanii na nani ana mda wakukufuatilia wewe....Sasa mimi niache kupost chochote namuogopa nani mzeebaba?
Wazoee tu watu wa JF na walimwengu kwa ujumla[emoji23][emoji23] mie mbona huu mtandao siutumii sana na hata nikija Mara nyingi napita kimya, yule mkaka ni muongo pengine aseme labda jina linamchanganya.
Nikupe kazi isiyokuwa na malipo, kafanye kupitia comments zangu umletee feedback Cresida
Pole sana! ID zote ziko recorded, bado final matching ndio inaumiza kichwa so by any means mnajitahidi kutoa details zenu kwa intelligence corner wenye mitambo na software advanced sana za analysis
Itakuwa unafananisha ugumu na ukaliHapa tena umerudi kule kule kiugumu ugumu
Picha yako pleaseNaomba ukifanikisha unitag natumia id ya @cresida