Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

We ndio uache ushamba, utakuwa mhalifu wewe si bure.
Tumeni sana tu, naona mmeukwaa mkenge, iko hivi Huyu mtu sijui kaambiwa nanani asaidie kutambua watu, intelligence haitumii nguvu! Ukipiga picha na simu yako kisha ukaiaplodi huwa picha inatabia ya kuwa na details zoooote kama mfatiliaji akiwa na Modern Image Analyzer au Advanced Metadata Software, hadi namba ya simu card inaweza kuwa revealed.

Upo uwezekano wa kutuma Spyware article yenye reverse mode kutrack details zako zote, inaweza kuwa imepandikizwa kwa video clips au picha yenye mvuto.

JF ilikumbwa na kazia ya kutakiwa kutoa identity za members.

Acheni ushamba
 
Na hiyo ni kwa EXPERT ndo wenye uwezo wa kujua device iliyotumika kupiga picha, mahali na mda ila mtu kama Sakayo hawezi kujua halafu kingine wote wanaojiachia humu hawatunishi misuli siasani wote ni wa mmu, chit chat na jukwaaa letu lile ambalo halipo kwa sasa.
Sidhani kama unaweza kujua number ya simu kwa kutumia details fichwa za picha iliyopigwa na kamera ya simu...

Kuna vitu vingine kama location (geo location), jina la simu, muda picha imepigwa n.k...
 
Hebu acha kuingilia uhuru wa watu

Wacha watu waweke picha!!
 
Kabla hujapost lazima ujijue wewe ni nanii na nani ana mda wakukufuatilia wewe....
Tumeni sana tu, naona mmeukwaa mkenge, iko hivi Huyu mtu sijui kaambiwa nanani asaidie kutambua watu, intelligence haitumii nguvu! Ukipiga picha na simu yako kisha ukaiaplodi huwa picha inatabia ya kuwa na details zoooote kama mfatiliaji akiwa na Modern Image Analyzer au Advanced Metadata Software, hadi namba ya simu card inaweza kuwa revealed.

Upo uwezekano wa kutuma Spyware article yenye reverse mode kutrack details zako zote, inaweza kuwa imepandikizwa kwa video clips au picha yenye mvuto.

JF ilikumbwa na kazia ya kutakiwa kutoa identity za members.

Acheni ushamba
Sasa mimi niache kupost chochote namuogopa nani mzeebaba?
 
Sidhani kama unaweza kujua number ya simu kwa kutumia details fichwa za picha iliyopigwa na kamera ya simu...

Kuna vitu vingine kama location (geo location), jina la simu, muda picha imepigwa n.k...
Sawa
 
Mtu mwenyewe hadi dp unaweka sura yako jina la humu ndo jina la instagram na facebook.
Maisha mafupi haya
Kabla hujapost lazima ujijue wewe ni nanii na nani ana mda wakukufuatilia wewe....Sasa mimi niache kupost chochote namuogopa nani mzeebaba?
 
Members wa hapa ni wa MMU na chit chat.
Babuu usitutishe
Post zako huwa zinajieleza, Russia na Rwanda walau wanamfumo wa kuextract sensitive Intel kwa kutumia mabinti warembo sana ambao wengi huwepo kwenye social midia na wakikutaka huko huchomoki, angalia RED SPARROW
 
Na hiyo ni kwa EXPERT ndo wenye uwezo wa kujua device iliyotumika kupiga picha, mahali na mda ila mtu kama Sakayo hawezi kujua halafu kingine wote wanaojiachia humu hawatunishi misuli siasani wote ni wa mmu, chit chat na jukwaaa letu lile ambalo halipo kwa sasa.
Pole sana! ID zote ziko recorded, bado final matching ndio inaumiza kichwa so by any means mnajitahidi kutoa details zenu kwa intelligence corner wenye mitambo na software advanced sana za analysis
 
Hahahahaha
Kwamba mie sina madhara dear, naomba mtume picha. Maneno yamekuwa mengi sana
 
[emoji23][emoji23] mie mbona huu mtandao siutumii sana na hata nikija Mara nyingi napita kimya, yule mkaka ni muongo pengine aseme labda jina linamchanganya.

Nikupe kazi isiyokuwa na malipo, kafanye kupitia comments zangu umletee feedback Cresida
Wazoee tu watu wa JF na walimwengu kwa ujumla
Kila mtu ana namna yake anavyoona mtu....yupo atakayekuona mpole na yupo atakayekuona mkali,yupo atakayekuona wa kike na yupo atakayekuona wa kiume na kadhalika

The best thing about JF ni kwamba kadri watu wanchanganyikiwa kuhusu wewe ndio nzuri inakuwa kwako (kama huna interests na mambo mengine kama kutarajia kudate ama kumeet na mtu humu)

Atakayefikiria chochote kuhusu wewe let him/her be,huna haja ya kujielezea/kujitetea kwa yoyote humu​
 
Naomba ukifanikisha unitag natumia id ya @cresida

Back
Top Bottom