Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sidhani kama unaweza kujua number ya simu kwa kutumia details fichwa za picha iliyopigwa na kamera ya simu...

Kuna vitu vingine kama location (geo location), jina la simu, muda picha imepigwa n.k...hivyo ndio huweza julikana na hata ukivijua pia sio rahisi kumjua muhusika...
Kuna vitu vingine havina maana kabisa. Yan mtu uangaike na geo location plus picha ilipigwa saq ngap. Labda intelligence ya siasa..

Sisi tunaoshida mmu chictchat na cerebrite hatuna wasiwasi hata tukijulikana.
 
Siasani sijawahi kulifungulia hilo jukwaa nina miezi kibao, itokee tu kuna kitu nataka kusoma kipo kule napita lakini si kucommment au kupita huko
Kuna vitu vingine havina maana kabisa. Yan mtu uangaike na geo location plus picha ilipigwa saq ngap. Labda intelligence ya siasa..

Sisi tunaoshida mmu chictchat na cerebrite hatuna wasiwasi hata tukijulikana.
 
Iko hivi ukitaka uepuke shida ambazo sio za lazima, ukipiga hiyo selfie, clear details then upload! Usiende mbio kama nyumbu kuvuka mto wenye mamba kwamba kilio cha wengi harusi, usije sema hukuambiwa.

Pangu Pakavu
 
Sawa Mkuu
 
  • Thanks
Reactions: amu
We mbona unacomplicate mambo?

Tunajiamini sisi na Ndio maana tunafanya hata tunayoyafanya.

#Tusipangiane, na usijaribu kutuambukiza mauoga yako
Post zako huwa zinajieleza, Russia na Rwanda walau wanamfumo wa kuextract sensitive Intel kwa kutumia mabinti warembo sana ambao wengi huwepo kwenye social midia na wakikutaka huko huchomoki, angalia RED SPARROW
 
Tumeni sana tu, naona mmeukwaa mkenge, iko hivi Huyu mtu sijui kaambiwa nanani asaidie kutambua watu, intelligence haitumii nguvu! Ukipiga picha na simu yako kisha ukaiaplodi huwa picha inatabia ya kuwa na details zoooote kama mfatiliaji akiwa na Modern Image Analyzer au Advanced Metadata Software, hadi namba ya simu card inaweza kuwa revealed.

Upo uwezekano wa kutuma Spyware article yenye reverse mode kutrack details zako zote, inaweza kuwa imepandikizwa kwa video clips au picha yenye mvuto.

JF ilikumbwa na kazia ya kutakiwa kutoa identity za members.

Acheni ushamba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20190929_144447.jpeg
 
Back
Top Bottom