Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanaume gani wamekubali? Ni wewe peke ako na Rrondo.
Usiwajumuishe wengine, kuna Mkokaa hapa anapenda chata nyeusi sana [emoji23]

Ila kaka umeyumba, we hujamsifia ila umelinganisha mguu na viwili wili ya watu kweli? Ni heri hata ungesema katika picha zote zilizotumwa nimevutiwa na hii.
Mwambie, mwambie
 
View attachment 1218997

Hapana mkuu hiki nimepiga leo yeezy boost, hizo ni collection tuu

Post iliyopita

Picha ya kwanza ni mda umepita wingsman mbezi beach

Picha ya pili ni etina bar near mliman city

Picha ya tatu ofisini kwangu

Picha ya nne ni capetown fish market

Na hii ya sasa hivi ni hapa ARISA ardhi university mda huu
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji123]
 
Kuna mwanafunzi tulimchapa hadi tukaona tuache tuu.
.
Hajaandika kwenye madaftari yake halafu analazimisha ameandika.
Onesha alipoandika, anafungua daftari mwanzo hadi mwisho kurasa moja moja anafungua hadi ambazo hazijaandikwa.
Anatafuta alipoandika , ikumbukwe ni notes kama za mwezi ndio anazitafuta hivo bora ingekuwa siku moja ingeeleweka kachanganya kurasa.
Hadi Leo na kesho msimamo wake ni "niliandika kweli eti sijui zimeenda wapi".
Sijui ni kabila gani yule mtoto.
Dada mzuri hivo unachapa wanafunzi. Usifanye hivo, kuwa mpole na utumie ushawishi na ushauri kuwarekebisha. Nakuhakikishia wanafunzi wa kiume wanapenda sana kukosolewa na madam kisu, mwenyewe nilikuwa nazingatia sana na kujirekebisha
 
Basi mtu wa namna hiyo mwenye akili za hivo kabla hata haujamuona unaelewa anafananiaje.
Hivi kapost picha yake kweli? Au ameogopa amefunikwa na "Wanaume kamili" waliopost kwenye huu Uzi?
Hawezi kujipost huyu
 
Back
Top Bottom